JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 706
- 1,230
Mgogoro huu wa tanesco na iptl ulifikishwa mahakamani mara kadhaa. Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi (International Centre for Settlement of Investment Disputes - ICSID) ilitoa uamuzi mwaka 2014 ikiiamuru TANESCO kuilipa IPTL takribani dola za Kimarekani milioni 186 pamoja na riba.Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi likiwa ni Tsh. Bilioni 111 na Riba Tsh. Bilioni 127
Ilikuaje? Yapi yalikuwa makubaliano ya TANESCO na IPTL? Mahakama iliamuaje? Kwanini suala hili linafufuliwa kila awamu licha ya maamuzi ya Mahakama ya Rufaa?
Kufahamu haya na mengine, usikose kujiunga nasi katika Mjadala maalum na Wataalamu, Alhamisi hii kuanzia Saa 1 jioni hadi 3 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kushiriki bofya https //jamii.app/IPTLSpace
Shamba la Bibi... Uzuri David yupo...ikiwezekana awepo kwenye mjadala.Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi likiwa ni Tsh. Bilioni 111 na Riba Tsh. Bilioni 127
Ilikuaje? Yapi yalikuwa makubaliano ya TANESCO na IPTL? Mahakama iliamuaje? Kwanini suala hili linafufuliwa kila awamu licha ya maamuzi ya Mahakama ya Rufaa?
Kufahamu haya na mengine, usikose kujiunga nasi katika Mjadala maalum na Wataalamu, Alhamisi hii kuanzia Saa 1 jioni hadi 3 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kushiriki bofya https //jamii.app/IPTLSpace
Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi likiwa ni Tsh. Bilioni 111 na Riba Tsh. Bilioni 127
Ilikuaje? Yapi yalikuwa makubaliano ya TANESCO na IPTL? Mahakama iliamuaje? Kwanini suala hili linafufuliwa kila awamu licha ya maamuzi ya Mahakama ya Rufaa?
Kufahamu haya na mengine, usikose kujiunga nasi katika Mjadala maalum na Wataalamu, Alhamisi hii kuanzia Saa 1 jioni hadi 3 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
Kushiriki bofya https //jamii.app/IPTLSpace
Itakua umma wa wananchi ndio inawadai hao matapeli singa na yule Mzee wa kihaya Rugemalila. Msisahau kwamba Mramba huyu katibu mkuu wizara ya nishati Magufuli alimtumbua Kwa kupanga hila kuipa iptl kuzalisha umeme kwa mafuta yale mazito ya gharama kubwa mkataba baada ya mkataba wake wa miaka zaidi ya ishirini kumalizika. Ilitakiwa IPTL kukabidhi mitambo yao tanesco bure Kwa masharti yaliyokuepo ila Kwa hila wakapanga kupewa mkataba upya. Hawa walinyonya vibaya nchi kwa mkataba wa kinyonyaji ambapo walilipwa na tanesco wazalishe umeme au wasizalishe. Madai yao itakua muendelezo wa upigaji Kwa ushirika wa wapigaji serikalini. Kama kweli mama sio ulaghai ni kweli ' kazi iendelee' basi asikubali wahimi na uhuni kwenye serikali yake.Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi likiwa ni Tsh. Bilioni 111 na Riba Tsh. Bilioni 127