ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mbaya zaidi uwanja uleule, kwanza uwanja gani ule una vipara kila kona kama uwanja wa kucheza cha ndimu.Lakini kwa hili TFF na bodi ya ligi wameonesha ni kama taasisi inayoongozwa na watu wasio na maarifa na utimamu wa akili. Jana mechi imeahirishwa sababu ya mvua na uwanja kujaa maji. Halafu wanapanga tena mchezo upigwe leo utafikiri mvua zimeshaacha kunyesha vile.