Mbaya zaidi uwanja uleule, kwanza uwanja gani ule una vipara kila kona kama uwanja wa kucheza cha ndimu.Lakini kwa hili TFF na bodi ya ligi wameonesha ni kama taasisi inayoongozwa na watu wasio na maarifa na utimamu wa akili. Jana mechi imeahirishwa sababu ya mvua na uwanja kujaa maji. Halafu wanapanga tena mchezo upigwe leo utafikiri mvua zimeshaacha kunyesha vile.
Sijui wana nia gani na Yanga kwenye hii mechi, yaani wanalazimisha mechi ichezwe pale pale palikoshindikana jana. Kwahiyo na leo ikitokea mazingira kama ya jana halafu wakahairisha tena si itakuwa ni utoto huo? Huu ni uhuni na uswahili katika uendeshaji wa ligi. Uwanja haufaiMbaya zaidi uwanja uleule, kwanza uwanja gani ule una vipara kila kona kama uwanja wa kucheza cha ndimu.
Nadhani Bodi ya Ligi na TFF, kuna tatizo.Sijui wana nia gani na Yanga kwenye hii mechi, yaani wanalazimisha mechi ichezwe pale pale palikoshindikana jana. Kwahiyo na leo ikitokea mazingira kama ya jana halafu wakahairisha tena si itakuwa ni utoto huo? Huu ni uhuni na uswahili katika uendeshaji wa ligi. Uwanja haufai
Ukimsikia sasa Masau Bwire na masikio yake anavousifia, utasema ni Nou CampMbaya zaidi uwanja uleule, kwanza uwanja gani ule una vipara kila kona kama uwanja wa kucheza cha ndimu.
Safi sna.Kwa jinsi ninavyoipenda Yanga, mwanaume atakayenioa lazima awe Yanga vinginevyo abadili timu anifate
...💚💛🤸...!
Hivi unafikiri hao Tff wanaifurahia Yanga?? Hapo kinachotafutwa ni kutengeneza mazingira magumu kwa Yanga ili angalau afungwe au sare.Mbaya zaidi uwanja uleule, kwanza uwanja gani ule una vipara kila kona kama uwanja wa kucheza cha ndimu.