srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,195 Reaction score 4,013 Oct 9, 2024 #21 Mimi naona watu walioathirika na punyeto labda ni watu ambao hawapo busy na hawana wapenzi. Jaribu kuwa busy vya kutosha kuwa na pesa kuwa na mpenzi. Uone kama utapata huo muda wa Punyeto
Mimi naona watu walioathirika na punyeto labda ni watu ambao hawapo busy na hawana wapenzi. Jaribu kuwa busy vya kutosha kuwa na pesa kuwa na mpenzi. Uone kama utapata huo muda wa Punyeto