Umeathirika na Punyeto? Fanya hivi utapona

Mimi naona watu walioathirika na punyeto labda ni watu ambao hawapo busy na hawana wapenzi.

Jaribu kuwa busy vya kutosha kuwa na pesa kuwa na mpenzi. Uone kama utapata huo muda wa Punyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…