Marekani ina sera zake kuhusu mambo mbalimbali - Sera ya Marekani kuhusu Africa na demokrasia yake kwa ujumla ipo pale pale abakie Pempeo ama mwingine aje uzi ni ule ule !!Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya
Uongo wakati wa Kennedy na Clinton na Obama administration walikuwa tofautiMarekani ina sera zake kuhusu mambo mbalimbali - Sera ya Marekani kuhusu Africa na demokrasia yake kwa ujumla ipo pale pale abakie Pempeo ama mwingine aje uzi ni ule ule !!
Jaribu kuangalia walikuwa wanafanya kazi na nani ?Uongo wakati wa Kennedy na Clinton na Obama administration walikuwa tofauti
Sasa mbona majeshi yote ya ulinzi na usalama kutoka nchi nzima Marekani wako ikulu na wamepiga marufuku watu kwenda viwanja anapoapishwa Rais mpya Joe Biden?We bongozozo, marekani inaongozwa kwa kanuni na sera. Hawaongozwi kwa mihemko kama huko Tanganyika.
A big baby crying with diapers falling!Sasa mbona ada majeshi yote ya ulinzi na usalama kutoka nchi nzima na kupiga marufuku watu kwenda viwanja anapoapishwa raisi mpya Joe Biden? Kama kapita kihali majeshi ya nini? Kwani kesho ndiko pekee kilipiga kura? Ina maana anaapishwa na wanajeshi sio watapiga kura ni chako la majeshi sio raia sisi havijawahi piga Marufuku raia kuhudhuria kuapishwa kwa raisi lakini marekani wamepiga Marufuku ataapishwa mbele ya vyombo vya ulinzi na usalama tu tena FBI wamewachuja wanataka wale tu pro Biden!! Nani mwenye mihemko hapo Kati ya sisi na wao? Ingekuwa kwetu wangepiga yowe kuwa ni Raisi aliwekwa na jeshi sio wapiga kura
Msimamo wa mabalozi ni msimamo wa MarekaniRais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangia wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya
Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni
Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangia wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya
Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni
Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Pumba tupu !! Tafuta helaRais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangia wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya
Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni
Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Hapana Mkuu kawaza ki ccm zaidi. Wako Watz very smart hawawezi kuwaza Kilumumba.Nimecheka kwa nguvu, eti mabalozi wa Marekani wako matumbo juu. Kwakuwa mabalozi wa Tanzania wanapata hizo nafasi kwa hisani kama sehemu ya kuwawezesha kimaisha, basi unadhani mabalozi wa nchi nyingine ni wachumia tumbo kama wakwetu. Umewaza kitanzania zaidi.
No permanent enemySera ya nje ya US ni ile ile hata Rais akiwa Lil Wayne.
Marais na vyama vinabadilika
kila leo huko US lakini Beef lao na North Korea au Russia liko vile vile.
Sana sana kikibadilika sana ni mtazamo wa namna ya kuyashughulikia hayo mapumbavu.