Umebaki muda mfupi tu wa Rais mpya wa Marekani kuapishwa. Balozi wa Marekani Tanzania hatima yake haijulikani

Tumia akili kidogo
Tangu Trump achaguliwe alikaa miaka mitatu kabla hata ya kufikiria kuteua balozi kuja Magufulistan
Hujui lolote nje ya upuuzi wa Ccm
Hiyo ni kwasababu Trump hakuwa na majority kwenye congress ambayo ndiyo hufanya vetting ya mabalozi/high commissioners. Ila kwa sasa Biden ana majority kwenye congress.
Disclaimer: mimi sio ccm wala cdm
 
Kuna watu akili zenu sijui zimeingiwa na mdudu wangu!Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo?What a shame!
 
Uongo wakati wa Kennedy na Clinton na Obama administration walikuwa tofauti
Usijidanganye, wanakuwa tofauti katika utekelezaji tu.
Mambo ya msingi yanayogusa maslahi na usalama wa USA hayabadilishwi kirahisi hivyo kama huku kwetu.
Wote ni wale wale.
 
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya

Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya

Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni

Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Nawe ni mmoja wao uliepigwa bun nini mbona! povu jingi tendeni Haki kinyume cha hapo mtakwama tu!

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona majeshi yote ya ulinzi na usalama kutoka nchi nzima Marekani wako ikulu na wamepiga marufuku watu kwenda viwanja anapoapishwa Rais mpya Joe Biden?
Kama kapita kihalali majeshi ya nini? Kwani wanajeshi ndio pekee walipiga kura? Ina maana anaapishwa na wanajeshi sio wapiga kura

Sisi hatujawahi piga Marufuku raia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais lakini Marekani wamepiga Marufuku ataapishwa mbele ya vyombo vya ulinzi na usalama tu tena FBI wamewachuja wanataka wale tu pro Biden!! Nani mwenye mihemko hapo Kati ya sisi na wao? Ingekuwa kwetu wangepiga yowe kuwa ni Raisi aliwekwa na jeshi sio wapiga kura
Shame on you
 
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya

Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya

Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni

Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Marekani hawafanyi mambo yao kijinga na kikabila kama magu wao wanaheshimu mipango ya muda mrefu sio maagizo ya majukwaani.
 
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya

Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya

Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni

Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Upuuzi mtupu uliouandika. Fikra zako ni US ipo kama Tanzania, ambako Rais huamua kila kitu.

Marekani ina sera ya nje ambayo kila Rais ni lazima aifuate, kinachotofautiana na uzito wa usimamiaji.

Sera ya nje ya Marekani ni kupiga vita udikteta. Kuingia kwa Biden, kunaweza kuwa ni kubaya zaidi kwa nchi yetu ambayo haiheshimu demokrasia, haki za raia, uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa maoni.

Biden anatoka Democrat, chama ambacho falsafa yake kubwa ni kuheshimu demokrasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya

Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya

Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni

Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Pumba..
Unafikiri akiletwa Balozi mpya ndio atakuwa rafiki wa ccm??
Dunia nzima inatambua nyie ni wezi wa kura na meko hakushinda .
 
Sasa mbona majeshi yote ya ulinzi na usalama kutoka nchi nzima Marekani wako ikulu na wamepiga marufuku watu kwenda viwanja anapoapishwa Rais mpya Joe Biden?
Kama kapita kihalali majeshi ya nini? Kwani wanajeshi ndio pekee walipiga kura? Ina maana anaapishwa na wanajeshi sio wapiga kura

Sisi hatujawahi piga Marufuku raia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais lakini Marekani wamepiga Marufuku ataapishwa mbele ya vyombo vya ulinzi na usalama tu tena FBI wamewachuja wanataka wale tu pro Biden!! Nani mwenye mihemko hapo Kati ya sisi na wao? Ingekuwa kwetu wangepiga yowe kuwa ni Raisi aliwekwa na jeshi sio wapiga kura
Marekani wanaheshimu sana haki za raia, japo uhalifu upo.

Hapa kwetu siyo lazima kupeleka majeshi eneo analoapishwa Rais kwa sababu atakayefanya kinyume na matakwa ya watawala atapigwa kichapo cha mbwa koko, akiwa na bahati. Asipokuwa na bahati, atauawa au kupotezwa moja kwa moja.

Kwetu tangazo tu la kusema, marufuku kufanya kitu fulani, linatosha. Ukifanya ul8vhokatazwa na watawala, jibu unalijua.

Kinachotokea US ni matunda ya uhuru mkubwa walio nao raia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya

Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya

Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni

Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Hakuna rais wa Marekani anapenda udikteta.Hata Museveni akiwa rais wa Marekani atapinga udikteta.That is the policy for all civilized nations.For your information,Joe Biden is more strict with African democracy than the former.
 
Hatimaye jeshi la marekani likiwa na makondoo elfu 20 kutoka majimbo yote ya Marekani limemsimika Biden kwa nguvu kuwa Raisi wa Marekani katika hafla iyojaa makomabdoo wa jeshi na FBI watupu raia hawakuruhusiwa kuhudhuria

Kilichofanyika ni mapinduzi ya kijeshi kwa mara ya kwanza katika historia ya marekani Jeshi na FBI wameweka mtu wa kwa nguvu wananchi watoe wasitake

Ingekuwa Tanzania wangesema Biden kawekwa na polisiCCM na marekani ingelaani lakini kwao Biden kuwekwa na jeshi kimya
 
Wanaokuja watakuwa rafiki zenu sana?
 
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya

Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya

Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni

Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Vilaza na wajinga wa CCM wanafikiri Mabalozi wa nchi zote duniani ni kama Mabalozi wa Tanzania ambao ni wafanyakazi wa kuajiriwa ambao wanaobahatika kupata nafasi hiyo, wanakuwa watalii na kazi yao inakuwa kulinda ajira kwa kulamba miguu ya anayeteua. Nchi za walioendelea Mabalozi wao wanateuliwa toka popote katika jamii kwa muda tu na wakikubali, baada ya muda huo Balozi anakuwa huru kuamua kuendelea kuwa Balozi kwenye nchi ileile au ahamishiwe nchi nyingine au aachane kabisa na kazi hiyo. Mabalozi hawateuliwi kisiasa kama kwetu bali kikatiba ndo maana ingawa hadhi yao sawa, lakini masharti yao ya kazi yanatofautiana kufuatana na tofauti za maendeleo ya nchi za dunia kwa mfano Mabalozi wa Marekani Ufaransa na Tanzania masharti ya kazi hayafanani maana aliyopo Tz anatambulika yuko jehanamu. Pompeo, kama Rais Trump (hata Mshahara alikataa), alikuwa mfanyabiashara kwa hiyo atarudi kwenye biashara zake na maisha yataendelea siyo kama viongozi wetu wanaingia siasa ili wagange umasikini wao ndo maana hawatosheki na kikubwa wanacholipwa wanaishia kuwa wezi wa mali za Umma masikini. Balozi wa Marekani Tanzania hata mwaka hajamaliza toka aripoti hapa kwa hiyo ataendelea kuwepo nchini akikosa hata mafuta ya kupitia nchi ikiwa na karanga, alzeti, ufuta, michikichi, mahindi, Pamba, nk, mimea ya mafuta. Hiyo ndo tofauti ya Mabalozi wa Marekani Tanzania anayekosa kila kitu na Kenya anayepata kila kitu!
 
Nani kasema Biden ni rafiki wa siasa uchwara huko barani? Biden anakuja kuzinyoosha nchi za kiafrica na ndipo mtaijua Demokrasia ni nini, Mlimpenda Trump kwa vile mengi yake yalikua maneno ya mitandaoni, Huyu ameingia mtendaji .
 
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya

Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya

Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni

Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Do you mean balozi wa kina tundulissu, wakati yuko mafichoni kuogopa lynching ya ka Nancy Pelosi kina zitto na fatmakarume wakiherekishia cherekochereko eti katoa fatw'a kuwabana visa viongozi wetu as if wanazitaka.
 
Back
Top Bottom