young solicitor
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,123
- 713
Hiyo ni kwasababu Trump hakuwa na majority kwenye congress ambayo ndiyo hufanya vetting ya mabalozi/high commissioners. Ila kwa sasa Biden ana majority kwenye congress.Tumia akili kidogo
Tangu Trump achaguliwe alikaa miaka mitatu kabla hata ya kufikiria kuteua balozi kuja Magufulistan
Hujui lolote nje ya upuuzi wa Ccm
Usijidanganye, wanakuwa tofauti katika utekelezaji tu.Uongo wakati wa Kennedy na Clinton na Obama administration walikuwa tofauti
Nawe ni mmoja wao uliepigwa bun nini mbona! povu jingi tendeni Haki kinyume cha hapo mtakwama tu!Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya
Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni
Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Kipindi hicho mtawala aliekuwepo nae alikuwa analinda wasiojulikana?Sio kweli kuna balozi alikuwepo anaitwa mchungaji Charles Smith nadhani sasa hivi atakuwa keshapewa uraia wa Tanzania
Shame on youSasa mbona majeshi yote ya ulinzi na usalama kutoka nchi nzima Marekani wako ikulu na wamepiga marufuku watu kwenda viwanja anapoapishwa Rais mpya Joe Biden?
Kama kapita kihalali majeshi ya nini? Kwani wanajeshi ndio pekee walipiga kura? Ina maana anaapishwa na wanajeshi sio wapiga kura
Sisi hatujawahi piga Marufuku raia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais lakini Marekani wamepiga Marufuku ataapishwa mbele ya vyombo vya ulinzi na usalama tu tena FBI wamewachuja wanataka wale tu pro Biden!! Nani mwenye mihemko hapo Kati ya sisi na wao? Ingekuwa kwetu wangepiga yowe kuwa ni Raisi aliwekwa na jeshi sio wapiga kura
Marekani hawafanyi mambo yao kijinga na kikabila kama magu wao wanaheshimu mipango ya muda mrefu sio maagizo ya majukwaani.Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya
Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni
Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Upuuzi mtupu uliouandika. Fikra zako ni US ipo kama Tanzania, ambako Rais huamua kila kitu.Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya
Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni
Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Hawakuwa tofauti bali Tanzania wakati huo ilikuwa tofauti na ilivyo leo.Uongo wakati wa Kennedy na Clinton na Obama administration walikuwa tofauti
Pumba..Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya
Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni
Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Marekani wanaheshimu sana haki za raia, japo uhalifu upo.Sasa mbona majeshi yote ya ulinzi na usalama kutoka nchi nzima Marekani wako ikulu na wamepiga marufuku watu kwenda viwanja anapoapishwa Rais mpya Joe Biden?
Kama kapita kihalali majeshi ya nini? Kwani wanajeshi ndio pekee walipiga kura? Ina maana anaapishwa na wanajeshi sio wapiga kura
Sisi hatujawahi piga Marufuku raia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais lakini Marekani wamepiga Marufuku ataapishwa mbele ya vyombo vya ulinzi na usalama tu tena FBI wamewachuja wanataka wale tu pro Biden!! Nani mwenye mihemko hapo Kati ya sisi na wao? Ingekuwa kwetu wangepiga yowe kuwa ni Raisi aliwekwa na jeshi sio wapiga kura
Hakuna rais wa Marekani anapenda udikteta.Hata Museveni akiwa rais wa Marekani atapinga udikteta.That is the policy for all civilized nations.For your information,Joe Biden is more strict with African democracy than the former.Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya
Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni
Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Hatimaye jeshi la marekani likiwa na makondoo elfu 20 kutoka majimbo yote ya Marekani limemsimika Biden kwa nguvu kuwa Raisi wa Marekani katika hafla iyojaa makomabdoo wa jeshi na FBI watupu raia hawakuruhusiwa kuhudhuriaHakuna rais wa Marekani anapenda udikteta.Hata Museveni akiwa rais wa Marekani atapinga udikteta.That is the policy for all civilized nations.For your information,Joe Biden is more strict with African democracy than the former.
Vilaza na wajinga wa CCM wanafikiri Mabalozi wa nchi zote duniani ni kama Mabalozi wa Tanzania ambao ni wafanyakazi wa kuajiriwa ambao wanaobahatika kupata nafasi hiyo, wanakuwa watalii na kazi yao inakuwa kulinda ajira kwa kulamba miguu ya anayeteua. Nchi za walioendelea Mabalozi wao wanateuliwa toka popote katika jamii kwa muda tu na wakikubali, baada ya muda huo Balozi anakuwa huru kuamua kuendelea kuwa Balozi kwenye nchi ileile au ahamishiwe nchi nyingine au aachane kabisa na kazi hiyo. Mabalozi hawateuliwi kisiasa kama kwetu bali kikatiba ndo maana ingawa hadhi yao sawa, lakini masharti yao ya kazi yanatofautiana kufuatana na tofauti za maendeleo ya nchi za dunia kwa mfano Mabalozi wa Marekani Ufaransa na Tanzania masharti ya kazi hayafanani maana aliyopo Tz anatambulika yuko jehanamu. Pompeo, kama Rais Trump (hata Mshahara alikataa), alikuwa mfanyabiashara kwa hiyo atarudi kwenye biashara zake na maisha yataendelea siyo kama viongozi wetu wanaingia siasa ili wagange umasikini wao ndo maana hawatosheki na kikubwa wanacholipwa wanaishia kuwa wezi wa mali za Umma masikini. Balozi wa Marekani Tanzania hata mwaka hajamaliza toka aripoti hapa kwa hiyo ataendelea kuwepo nchini akikosa hata mafuta ya kupitia nchi ikiwa na karanga, alzeti, ufuta, michikichi, mahindi, Pamba, nk, mimea ya mafuta. Hiyo ndo tofauti ya Mabalozi wa Marekani Tanzania anayekosa kila kitu na Kenya anayepata kila kitu!Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya
Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni
Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Trump alikua vizuri bana,achaneni na hao CNN,Fox,Washington post,Twitter wanaomponda!..
Do you mean balozi wa kina tundulissu, wakati yuko mafichoni kuogopa lynching ya ka Nancy Pelosi kina zitto na fatmakarume wakiherekishia cherekochereko eti katoa fatw'a kuwabana visa viongozi wetu as if wanazitaka.Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya