UMECHAGULIWA PROGRAM IPI na NI CHUO GANI??

UMECHAGULIWA PROGRAM IPI na NI CHUO GANI??

ili iwe nini unataka kunipiga chabo nnin kwa minajili ya kujuana...mmhhh aka "DEO"
 
Nyie furahini tu, maisha ya huku mtalia na kusaga meno, na hivi vimkopo vyenyewe hamna! Mtajuta mbona.
 
Haya bana tutakomaa hivyo hivyo tuu...maneno kama haya tumeshaanza ambiwa zamani sana toka tunaingia form one
lakin tukakomaa hivyo hivyo
so haisumbui sana tutabanana
kitaeleweka tuu
 
kama kawaida walee wa hard stuffs Bs in AUTOMOBILE ENG Pale NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT sio mbaya kujuanaa!!!!:car::car:
 
Admitted in Bachelor of Science in Computer Science at Institute of Finance Management
 
Bsc. in Electrical Engineering, University of Dar es Salaam.
29 admittion capaciy, with 26 male and only 3 female.

kaka pamoja xaana kaka.. 2kutane pande izo. ila dah wadada wa3 tu?? hapo ni msuli tu. duh
 
Bba in marketing mzumbe.....hongeri wote,,,,,wa mzumbe tutafutane jamani
 
Back
Top Bottom