Manumbumichael
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 207
- 19
hahah!nashukuru kaka,mpo mwaka wa ngap pale?
Mzumbe-Law
mkuu nipe no ya your dota nimpe hongera.
university of dar es salaam bachelor of science in mechanical engineering
ukipewa niforwadie na mm nimpe hongera yake
Hivi ni vp anayehairisha chuo, atapewa mkopo tena kwa kuahirisha kwake au ndo ile opportunities never come twice xo atajitegemea mambo yote ya ankara, alafu vp unaandika barua chuoni au tcu ya kuomba kuahurisha kwa huo mwaka husika?? Ebu funguka mkuu ..!! Ila chuo cha sauti kipo pouwaa xana nazungumzia cha mwanza lakini hivi vngine kama cha arusha kpya sina chakusema kwasababu ndo kinaanza japokuwa kipo mjini kabisaNina mdogo wangu akachaguliwa civil engeneering Saut vp iko Poa? Tujulishane kama vp aahirishe aombe next yr
N I T Logistics and transport management
NIT bachelor in logistics and transport management 0656879668
u r welcome