Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

Eti tofauti gani iliyopo kati ya bachelor of medicine na Doctor of medicine
 
Nina mdogo wangu akachaguliwa civil engeneering Saut vp iko Poa? Tujulishane kama vp aahirishe aombe next yr
 
NIT bachelor in logistics and transport management 0656879668
 
Tofauti ipo wap anaesoma medicine peke yake na anaesoma medicine and surgery
 
Nina mdogo wangu akachaguliwa civil engeneering Saut vp iko Poa? Tujulishane kama vp aahirishe aombe next yr
Hivi ni vp anayehairisha chuo, atapewa mkopo tena kwa kuahirisha kwake au ndo ile opportunities never come twice xo atajitegemea mambo yote ya ankara, alafu vp unaandika barua chuoni au tcu ya kuomba kuahurisha kwa huo mwaka husika?? Ebu funguka mkuu ..!! Ila chuo cha sauti kipo pouwaa xana nazungumzia cha mwanza lakini hivi vngine kama cha arusha kpya sina chakusema kwasababu ndo kinaanza japokuwa kipo mjini kabisa
 
Back
Top Bottom