Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

Ifm ...bachelor of science
in tax management...

hongera mkuu kwa kuja ifm mimi pia naingia 2nd year hpo nachukua insurance na risk managmnt ki ukweli chuo ni kizur bt ukijisahau na ukaacha kufanya kilichokuleta pale ndugu chuo utakiona kigumu....anywai congrats
 
we wa kwangu karibu dom ntakupokea .. applied geology apa
 
Hongeren sana vijana hope mtafanya poa sana huko muendako.
 
Back
Top Bottom