Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

Umechaguliwa wapi? Kutana na Wanachuo Wenzako!

jamani course ya bachelor in adult and education continuing imekaaje?

iko poa sema tanzania unaweza ukapangwa shule za kawaida but ukipata shule kama mawenzi Moshi Itakua poa utakua unafundisha watu wazima
 
Last edited by a moderator:
Nimeona ni vyema kuwe na uzi kwa ajili ya watu waliopangiwa post mbali mbali kujua wenzao wengine walipangiwa sehemu moja na pengine muanze kuwasiliana kabisa. Karibu!

mkuu mbona imefungwa hii link na error 404!!!!!!
 
Kwa wale waliobahatika jana kuona vyuo walivyopangiwa je kuna wa IFM hapa
 
Back
Top Bottom