DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 921
- 1,720
Mkuu pokea maua yako!Ukitaka maendeleo kaa mtaa ambao wewe utaonekana ni masikini,usikae na watu masikini watakuambukiza negative energy baada ya mda wewe utakuwa masikini kuwazidi.
Ukikaa na watu wanaokuzidi uwezo utajenga connection kupitia misiba,sherehe,vijiwe bar au pub walevi huwa marafiki au kupitia ibada za jumuiya.
Mitaa iliyofanikiwa Wana positive energy.