Umeelewa nini kwenye hii picha?

Umeelewa nini kwenye hii picha?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
IMG-20240126-WA0015.jpg
 
CHADEMA wamesacrify viti vya ubunge (kete mbili) kwa ajili ya kuusaka uraisi (king).
 
yaani apo ni kwamba ccm wameingia king ya kwanza na kule upande kushoto kuna kuna king nyingine inanyemelea na mashambulizi ni makali balaa sasa tunakuja huku upande wa pili yaani upinzani kwanza hawajapata ata king hata moja na wamezidiwa vyama upinzani yaani in short apo kama ni mpira ball posession ccm ina asilimia 81 na wapinzani ni asilimia 19 na ccm wanaongoza goli 3 huku wapinzani hawajapata kitu yaani sifuri kwa iyo shughuli ni pevu kweli kweli
 
Tuachane na hiyo pattern ya kipanya tuongee lugha ya draft.

Umeelewa ule mshale wa bluu una indicate nini?

Mshale wa bluu unaonesha direction ya kete za bluu zinakoelekea

Kwa maana hiyo sio kweli kuwa kete ya kijani upande wa kushoto inanyemelea kuingia kingi.

Nikijibu picha kwa mtazamo halisi wa draft nitaangalia hiyo kete ya bluu ambayo ipo mainroad inasaka kingi.

Kikawaida kwenye draft mtu mwenye kete tatu bila kujalisha hizo kete ni kingi au za kawaida, ila hawezi kumfunga mwenye kingi moja ambayo ipo mainroad.
 
labda nikuulize apo ni zamu ya nani kucheza wewe unahisi?
 
limechorwa vibaya bana

hiyo kingi imewezaje kuja kukaa nyuma ya hiyo kete ya blue?

na si unaona blue zinaenda mbele mshale wa blue unaonesha
Hiyo kete iliyopo mbele ya kingi nadhani imesukumwa kimakusudi na mchezaji anayemiliki kete za bluu

Yani ile attempt ya kumpa mtu kete ili utimize lengo lako
 
Tuachane na hiyo pattern ya kipanya tuongee lugha ya draft.

Umeelewa ule mshale wa bluu una indicate nini?

Mshale wa bluu unaonesha direction ya kete za bluu zinakoelekea

Kwa maana hiyo sio kweli kuwa kete ya kijani upande wa kushoto inanyemelea kuingia kingi.

Nikijibu picha kwa mtazamo halisi wa draft nitaangalia hiyo kete ya bluu ambayo ipo mainroad inasaka kingi.

Kikawaida kwenye draft mtu mwenye kete tatu bila kujalisha hizo kete ni kingi au za kawaida, ila hawezi kumfunga mwenye kingi moja ambayo ipo mainroad.
Kama kete ni hizo tu zinazoonekana CCM kashinda,
 
Back
Top Bottom