Umeelewaje katuni hii Mdau?

Wanasiasa wanatumia dini na michezo, katika nyanja mbalimbali ili kukidhi matakwa yao
 
ilo sio jibu la swali jibu swali umeelewaje!!
Tafsiri ya mchoro haiwezi kuwa moja... na kingine main theme hapo ni jf. So nilijaribu kuangalia mada zinazo trend humu, nikagundua hilo kwa mtazamo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…