John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Huyo dogo ni Psychopath π akijisikia kunywa supu ya ulimi wako, chap anaagiza maaskari wakushughulikie.Akili zake hazieleweki, Dictator mbaya sana, Unakumbuka yule mwanamziki wake kajitahidi kuimba, akampigia makofi alafu akamuuliza ungependa ubaki na kipi, mkono au ulimi? (maana aliona hajui kuimba) Chap akakatwa ulimi πHapo ni kuchagua atakae kuua haraka binafsi naenda na king Jofrey huyu hakuwa amekuwa muuaji sana
Hao wamefanyaje? umeelewa swali? hao watu wazuri kabisa π1. Michael Schofield _ Prison Break
2. Professor _ Money Heist
3. Jack Bauer _ 24 Hours.
Jamaa kama kakurupuka hv ahahaHao wamefanyaje? umeelewa swali? hao watu wazuri kabisa π
Psychopath huyo, kukudunga kisu dakika sifuri tu πT Bag mlaini tu.
Huyo anakuua huku anacheka akimaliza anaagiza aletewe supu ya ulimi wako πHapo ni kuchagua atakae kuua haraka binafsi naenda na king Jofrey huyu hakuwa amekuwa muuaji sana
Hata Dogo Todd unamuogopa mkuu?Labda uchague atakaekuua huku anatabasamu ila hapo hakuna hata mmoja wa kukusamehe unawahishwa kwa Mola ASAP