Umefichwa hili kuhusu mtandao wa Linkedin


Nikama insta ya wasomi.
 
Mkuu, naomba experience na maelezo kidogo kuhusu LinkedIn premium.
 
Huwa nauona ni mtandao wa show of za wasomi,hivi kuna mtu alishawahi kupata ajira kupitia linkedin?
Siipendi Linked in
Kwa kifupi maisha ya mtandaoni ni show off tu fake fake.. bora hapa jf
 
Linked in utapata kazi zote ila sio ualimu.sijui ualimu una laana gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…