The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Ila umesahu kuwa saiv simba ni bingwa kwa miaka 2 na huu tunachukuaMshangai,
Hahahaha umeongea la maana ingawa utapingwa na wengi. Mimi siyo Simba ila kwa klabu kuwa na msemaji Kama yule wa mipasho no fedheha kwa klabu...yeye Kila muda ni mipasho tu kwa Yanga utafikiri klabu hizi ni za taarabu...upo wakati Yanga nayo wakati wa manji ilikuwa na msemaji wa Aina hiyo, dah..Simba itabidi wakae chini na kuchukua hatua..ingekuwa ni nchi nyingine huyo manara angekuwa ameshafungiwa kitambo.
Elimu ni popote usikaririAna elimu gani?
School of journalism ya Ilala?
Hata Chuo feki?Elimu ni popote usikariri
Aisee..unashindwa kujua how hao followers wanavyoweza kuinufaisha team? Upo dunia ya wapi mzee bado unafikiria miaka myeusi hukoo? Hujui kuwa na followers wengi kwa timu ni sehemu ya maendeleo ambapo sasa kama team inaweza kutangaza kuuza jezi na bidhaa zingine kwa urahisi kwa watu wake?Nadhani kwa Manara kuwa msemaji wa klabu kama Simba wakati umemtupa mkono asukuriwe kwa aliyofanya na sasa apewe jukumu hilo mtu atakaye kwenda kisasa.
Uswahili swahili wa Kariakoo level hiyo imeshapitwa na sasa tuwe kama klabu zingine kubwa barani Afrika. Kama Haji Manara kafikia level ya kina Steve Nyerere kuzungumzia followers wa Instagram na Facebook kama kipimo cha maendeleo, basi kuna kasoro kubwa sana.
Manara bado ana mentality ya kuwa Simba kuifunga Yanga ndio mafanikio ya klabu yetu, hata kama itafungwa matano matano huko nje ni sawa tu.
View attachment 1352969
Msemaji wa Simba SC, Haji Manara
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuthibitisha kuwa chuo ni fake ?Hata Chuo feki?
Pale wali graduate hata wenye division zero. Ilikuwa kila Mbongo movie anasoma hapo.
Anaiharibu vipi team uwanjani? Kwani yeye anacheza namba gani?Ukweli ni kwamba Manara ni miongoni mwa watu wanaochangia kuijenga simba mitandaoni na kuiharibu uwanjani.....amekua muongo muongo kuipa sifa timu isizokua nazo na kuonekana bonge la timu mitandaoni ila uanjani sifuri....Simba wapitakiwa kuanza na huyu kabla ya Uchebe waliomtoa kwa dhulma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza bado kipo?Unaweza kuthibitisha kuwa chuo ni fake ?
Taja hizo klabu kubwa na wasemaji wake, kama si msemo tu wa kuhalalisha nia yako. Zitaje hapa hapa tuoneUswahili swahili wa Kariakoo level hiyo imeshapitwa na sasa tuwe kama klabu zingine kubwa barani Afrika.
Hili swali nisha wahi uliza kwenye kilinge nikakosa jibu, tuna haribu mpira wetu kwa mambo ya kijinga kijinga tu tumejaza waropokaji ambao hawana maana.. kwa wenzetu walio tuzidi kila kitu hawana haya mambo sisi tunayatoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu sijawahi ona manara akipost tambo au kejeri kwenye official account za simbaMbona Manara anafanya kazi yake vizuri tu nadhani ana-play part yake vizuri sana kama msemaji na shabiki. Kama ni taarifa huwa anatoa na huwa tunaziona zikiwasilishwa rasmi kutumia akaunti za Simba SC au kupitia vyombo vya habari.
Manara ni shabiki wa Simba SC damu-damu kama ambavyo hujieleza, hivyo tambo zake na maneno ya kejeli kwenye kurasa zake binafsi ni kama tu ambavyo mashabiki wengi hufanya kwenye maisha ya kishabiki. Vitu anavyo-post Manara kwenye page yake Personal ni haki yake kama shabiki ikiwa tu havunji sheria za mitandao na nchi. Simba SC wana mtu sahihi kabisa.
Sishabikii Simba SC wala timu yoyote inayoshiriki ligi za Tanzania. Nimetoa maoni kama shabiki tu wa mpira wa miguu.
Siungi MKONO...MANARA TUNAMPENDA NA TUNAMHITAJI...ingekuwa followers Wa instagram na fb siyo kigezo na si kitu cha msingi walotoa hizo takwimu wasingetoa maana hakuziandika MANARA ni watu wameandika mzee...Manara aendelee kuwepo anafaa mno kuliko msemaji yeyote hapa TZ.Nadhani kwa Manara kuwa msemaji wa klabu kama Simba wakati umemtupa mkono asukuriwe kwa aliyofanya na sasa apewe jukumu hilo mtu atakaye kwenda kisasa.
Uswahili swahili wa Kariakoo level hiyo imeshapitwa na sasa tuwe kama klabu zingine kubwa barani Afrika. Kama Haji Manara kafikia level ya kina Steve Nyerere kuzungumzia followers wa Instagram na Facebook kama kipimo cha maendeleo, basi kuna kasoro kubwa sana.
Manara bado ana mentality ya kuwa Simba kuifunga Yanga ndio mafanikio ya klabu yetu, hata kama itafungwa matano matano huko nje ni sawa tu.
View attachment 1352969
Msemaji wa Simba SC, Haji Manara
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa sababu siyo Simba huwez enjoy utamu Wa Manara kaa tuliaMshangai,
Hahahaha umeongea la maana ingawa utapingwa na wengi. Mimi siyo Simba ila kwa klabu kuwa na msemaji Kama yule wa mipasho no fedheha kwa klabu...yeye Kila muda ni mipasho tu kwa Yanga utafikiri klabu hizi ni za taarabu...upo wakati Yanga nayo wakati wa manji ilikuwa na msemaji wa Aina hiyo, dah..Simba itabidi wakae chini na kuchukua hatua..ingekuwa ni nchi nyingine huyo manara angekuwa ameshafungiwa kitambo.
MANARA hamumpend coz anawanyoosha na sisi ndo tunavyotaka kuwanyoosha NDANI na NJE ya uwanja VYURA TOPE.Manara yuko kwa maslahi yake binafsi, na anajua bila kuizungumzia yanga hawezi kuwa maarufu, yanga ndio inayompa pesa za matangazo, simba sijui kwa nini hawalitambui hilo, hana habari na simba yeye kila siku yanga tu, tatizo simba mbumbumbu wengi hawajui manara anajijenga yeye binafsi hajengi timu
Safi tuu hata wewe ukiweza Fanya...town hapa mzeeYule ameitumia Simba kama daraja la mishe zake na amefanikiwa
Huyo haondoki hapo miaka 100 simba mbovu uwanjan na imeshachukua Mara mbili mfululizo inatafuta ya 3...upo Tanzania au?Ukweli ni kwamba Manara ni miongoni mwa watu wanaochangia kuijenga simba mitandaoni na kuiharibu uwanjani.....amekua muongo muongo kuipa sifa timu isizokua nazo na kuonekana bonge la timu mitandaoni ila uanjani sifuri....Simba wapitakiwa kuanza na huyu kabla ya Uchebe waliomtoa kwa dhulma
Sent using Jamii Forums mobile app
100% fact...MANARA anawaumiza hawampendi.Well said wengi wanaomping hapa sio simb ni yanga hawa wanakereka na maneno yake kama mambo kasema kwenye page yake binfas ni mawazo yake binfs so sijui kinachowauma ni nn, mwachen afanye kaz yake.
Manara ni msemaj anayesababisha mashibik wengi wa simba wanajaaa uwanjan hakik ni muhamishaji namba moja Tanzania. Pili, ndugu zetu nao wamekuwa wanyonge sana kipind cha nyuma wakiwa na ten wakaona wamtafute msemaj mwenye maneno kama Manara, which they have failed sasa wanaona watumie njia ya kumuondoa kabisa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hatuwez fata mfumo wenu Wa msemaji mwingine na mhamasishaji mwingine kwetu Manara anamudu zote hizo vizuri tu....Mbona nyie mna MR JAHAZI TAARAB hata mpira hajui anawaza kushindana na Manara anafikia hatua ya kuongea kwenye vyombo vya habari kwamba HAWAWEZI KUUMIZA WACHEZAJI KWENYE MASHINDANO MADOGO (MAPINDUZI) baada ya kutolewa..nadhani mngeanza na yule asiyejua heshima ya Mapinduzi Cup.Utakuwa unachanganya kati ya Msemaji na Mhamasishaji. Tuliisema sana Yanga ilipokuwa na "msemaji" ambaye kwa sasa ni DC Arumeru, nayo ulikuwa hivi hivi kama Dar Modern Taarabu. Hatuwezi kuwa na watu kwenye nafasi zisizowatosha, Manara ni mzuri na muhimu kwa Simba lakini si katika nafasi ya Msemaji wa timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini si tunajifunza kwa walioshinda au? Fikiria kauli ya Manara kwa Tecno ingeleta madhara gani kama kulikuwa na dili la udhamomi linakuja kati ya Simba na Tecno?Acha ulozi mkuu!Hii ni bongo na sio lazima tuige utamaduni wa wenzetu!Tunaiga mpira tu na tutashangilia kwa vionjo vyetu
Sent using Jamii Forums mobile app