Umegundua Jinsi Ya Kupata Kipato Zaidi Kupitia Uwekezaji Katika Hisa?

Umegundua Jinsi Ya Kupata Kipato Zaidi Kupitia Uwekezaji Katika Hisa?

Joined
Jul 19, 2021
Posts
11
Reaction score
61
Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa...

Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi.

LAKINI…

Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi wanapoteza pesa kwenye soko la hisa.

Makosa Yanayowafilisi Wawekezaji Wengi wa Kitanzania

Mwaka 2022, nilikutana na rafiki yangu John aliyekuwa na shauku Kutengeneza Pesa kupitia uwekezaji katika hisa.

Alisikia watu wakisema:

"Soko la hisa lina hela, wekeza leo upate faida kesho!"

Bila kufanya utafiti wa kina, alichukua akiba yake akawekeza kwenye kampuni Maarufu Kwenye sekta ya kilimo

Miezi sita baadaye, alishtuka kuona thamani ya uwekezaji wake inazidi kushuka zaidi ya

John alikata tamaa, akauza hisa zake kwa hasara kubwa na kuapa kuwa hatarudia tena kuwekeza.

Ukweli ni Kwamba...

Makosa aliyofanya John ndiyo yanayowaangusha wawekezaji wengi wa Kitanzania.

Kwa hiyo, kabla hujawekeza hata shilingi moja kwenye soko la hisa, unapaswa kujua siri 7 za kufanikiwa kwenye uwekezaji wa hisa – bila kupoteza pesa yako kwa makosa ya kawaida.

Soma kwa makini…

7 Makosa Makubwa Yanayowaangusha Wawekezaji Wengi

✅ KOSA #1: Kununua hisa bila kufanya uchambuzi wa kampuni – (Ukiwa na hii formula, utaweza kuchagua kampuni zenye faida, Page #5)

✅ KOSA #2: Kuwekeza kwa mzuka wa mitandao badala ya kutumia data sahihi – (Jinsi ya kuchambua ripoti za kifedha na kupata kampuni zinazokua, Page #9)

✅ KOSA #3: Kutotofautisha hisa za bei rahisi na hisa zenye thamani – (Njia sahihi ya kuchagua hisa zenye undervaluation kabla ya wengine kugundua, Page #13)

✅ KOSA #4: Kutotumia muda sahihi wa kununua na kuuza – (Wekeza kwa wakati sahihi kwa kutumia mfumo wa Market Timing, Page #18)

✅ KOSA #5: Kushindwa kudhibiti hisia zako – (Jinsi ya kuzuia hofu na tamaa zisiharibu uwekezaji wako, Page #25)

✅ KOSA #6: Kutowekeza kwa mtazamo wa muda mrefu – (Mbinu ya kupata gawio la kila mwaka na kuacha pesa ikufanyie kazi, Page #30)

✅ KOSA #7: Kukosa mpango thabiti wa uwekezaji – (Mwongozo wa hatua kwa hatua wa kujenga portfolio yenye ukuaji endelevu, Page no #22)

Baada ya kuona Watanzania wengi wakipoteza pesa kwa makosa haya, nimeamua kuweka kila kitu kwenye eBook hii mpya:

"MWONGOZO WA RAHISI WA KUWA MWEKEZAJI BORA KATIKA SOKO LA HISA"

Ndani ya eBook hii, utajifunza:

✅ Jinsi ya kuanza kuwekeza hata kama huna elimu ya kifedha

✅ Siri za kupata gawio la kila mwaka kutoka kwa kampuni bora

✅ Jinsi ya kuwekeza kwa usalama bila kuhofia kupoteza pesa zako

✅ Mfumo wa Hatua 5 wa kuchagua hisa zinazokua na Kufanya vizuri sokoni

Pamoja na Siri Nyingine Kibao

Gharama ya Kujipatia package Yako ya Financial Market Bado ni ...
.
" Tsh 10,000/= Tu "

Na si hivyo tu!
.
Endapo Utalipia mapema basi Utazipata na Hizi BONASI Hapa chini 👇 Bure Kabisa
.
1.). Utapata Ebooks 3 Konki za Masuala ya Fedha Akiba na Uwekezaji "…(Thamani yake ni Tshs 30,000)_*
.
2.) utapata access ya Kujoin Kwenye WhatsApp Group Kwaajili ya Kujifunza Zaidi Masuala ya Uwekezaji

Kwahiyo...

.Ili Kuepuka kukosa OFFER Basi Lipia mapema Tsh 10,000 Tu Kwenda Namba Hizi Hapa chini 👇
.
M-PESA/MIXX BY YASS
.
074-405-6473 / 067-614-7714
.
Jina: Habakuki Makao
.
Baada ya Malipo nitumie screen shot ya muamala Wako WhatsApp 👇
Dm me on WhatsApp
.
Ili Nikutumie package Yako Plus bonus Zake Ndani Ya Dk 2 Tu Kwenye WhatsApp yako!
.
Yours!
.
Habakuki Hussen!
.
Hasta La Vista
 
Mwananchi asante kwa Elimu yako salad hizi package za kununua kwa mtu mwenye elimu ndogo ya fedha au hana kabisa juu ya uwekezaji wa hiya si ataambulia patupu? au kuna mwongozo(consultation)mnatoa bila kutumia matini zako?
 
Back
Top Bottom