The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Habari Wakuu
Hivi umegundua kwanza wanawake ambayo ni wife material hawako romantic kabisa yaani ata kukuita darling, my love ni ishu yaani[emoji23][emoji23].
Na wana aibu hao ata mkiwa kwenye kitanda mara nyingi wanafunga macho hawapendi kuiangalia kabisa wala kuishika[emoji23][emoji23] na ukimbadilisha style hee kidogo tuu amechoka jamani sema hawa ndo wazuri maana hawana mambo mengi.