Godo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 1,089
- 1,468
Kwa kifupi wanawake ambao ni so romantic hawafai kwa kuoa sababu wanatumia muda mwingi sana kucheza na madushe tofauti tofauti mpaka wanakuwa na uzoefu wa kuteka akili za wanaume ila ambao hawajishughulishi sana na wanaume wanakuwa sio romantic ila ni wife material kwa asilimia zote.