The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Mwanamke akipewa uzuri na kujua mapenzi kwa ustadi.
Huwa na Gharama sana, bila kuwa tajir humpati.
Mengine mvumilie tu maana hata Maandiko Matakatifu husema "upendo wa kweli huvumilia" inamaana huwezi kupata Ke aliyekamilika vigezo vyote kwa 100%.
Nishuhudieee kwa macho au kwa kuwahadhiaHabari Wakuu
Hivi umegundua kwanza wanawake ambayo ni wife material hawako romantic kabisa yaani ata kukuita darling, my love ni ishu yaani[emoji23][emoji23].
Na wana aibu hao ata mkiwa kwenye kitanda mara nyingi wanafunga macho hawapendi kuiangalia kabisa wala kuishika[emoji23][emoji23] na ukimbadilisha style hee kidogo tuu amechoka jamani sema hawa ndo wazuri maana hawana mambo mengi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa maelezo yako yanaendana na wangu yupo hivi,, yan namuamrisha na hajawai kubisha chochote nachomwambiaIla mwanamke akiwa na mbwe mbwe sana anakata utamu kabisa.
Mwanamke makeke meeeengi, wakati mwingine inaboa.
Mwanamke inapaswa unatulia, anakuachia uwanja ye kazi yake ni kutoa support kama kuzungusha kiuno n.k
We kazi yako ni kupeleka moto, huku unatoa maelekezo kama jenero kwenye vita ya urusi, "mguu juu" , "mguu chini", "geuka", "mguu upande, mguu sawa".
Ye hapo ni vilio tu kama msiba vile, we ni maneno kidogo kazi kwa wingi.
Sasa eti unakuta janaume na lenyewe linalia, aisee ... mnatuabisha.
By the way,,, sorry mtoa uzi kwenda nje ya mada, Ni kweli wife material hawana mbwe mbwe, halafu ni watamu hao... hiiiiiii...
πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa maelezo yako yanaendana na wangu yupo hivi,, yan namuamrisha na hajawai kubisha chochote nachomwambia
Si ndio mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa maelezo yako yanaendana na wangu yupo hivi,, yan namuamrisha na hajawai kubisha chochote nachomwambia