Umegundua kuwa wanawake ambao ni wife material hawako romantic?

Kwa kifupi wanawake ambao ni so romantic hawafai kwa kuoa sababu wanatumia muda mwingi sana kucheza na madushe tofauti tofauti mpaka wanakuwa na uzoefu wa kuteka akili za wanaume ila ambao hawajishughulishi sana na wanaume wanakuwa sio romantic ila ni wife material kwa asilimia zote.
 
Naunga mkono hoja kama huyu wa kwangu
 
Mi binafsi napenda amri kwenye gwijigwiji ili nifanye utakacho.. .nyanyua mguu,kunjia kushoto,ubenue,legeza kidogo,mauno faster,mauno taratibu.

Ukikaa kimya nami natulia zangu nikiendelea kuwaza kikoba.
Daah vikoba tena! [emoji16][emoji1787]
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…