Umegundua nini kwenye hii picha?

Jamani uchokozi huo, wewe unategemea nini wachehekeane wakati wamelala kitanda kimoja?
 
Hivi wanalala kitanda kimoja
 
mtoto wa mkulima hana mpango na mambo ya kutabasamu
 
mtoto wa mkulima hana mpango na mambo ya kutabasamu

Manake jamaa amenuna utadhani BODI GADI wa Bi. Salma...

Mama wa kwanza naye mbona hatabasamu jamani???
 
Nimegundua JK anansalimia nkewe! What is wrong with that?
 
Mtoto wa mkulima kama anataka kuanguka vile!
 
Everybody is smiling except mtoto wa mfugaji... Yeye yup kikazi zaidi
 
Kaiza sasa ni picha ipi tunaijadili hii ya kubanwa kwa miguu au ile ya JM?
 
Kaiza sasa ni picha ipi tunaijadili hii ya kubanwa kwa miguu au ile ya JM?

Mtoa mada anatuchanganya kuna picha moja demu kashika chatu lakini kachuchumaa kilakitu wazi watazamaji waliacha kuangalia maonyesho yake wakawa wanamtiza yeye!!
 
Unafikiri hii ingekuwepo pale wakati JM anampa hi Mkwe tungesemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…