Umegundua nini kwenye hii picha?

Umegundua nini kwenye hii picha?

Jamani uchokozi huo, wewe unategemea nini wachehekeane wakati wamelala kitanda kimoja?
 
mtoto wa mkulima hana mpango na mambo ya kutabasamu
 
mtoto wa mkulima hana mpango na mambo ya kutabasamu

Manake jamaa amenuna utadhani BODI GADI wa Bi. Salma...

Mama wa kwanza naye mbona hatabasamu jamani???
 
avatar10188_12.gif
Achanisha hiyo miguu nikwambie kitu!!!
 
Everybody is smiling except mtoto wa mfugaji... Yeye yup kikazi zaidi
 
Kaiza sasa ni picha ipi tunaijadili hii ya kubanwa kwa miguu au ile ya JM?
 
Kaiza sasa ni picha ipi tunaijadili hii ya kubanwa kwa miguu au ile ya JM?

Mtoa mada anatuchanganya kuna picha moja demu kashika chatu lakini kachuchumaa kilakitu wazi watazamaji waliacha kuangalia maonyesho yake wakawa wanamtiza yeye!!
 
avatar21652_10.gif
Unafikiri hii ingekuwepo pale wakati JM anampa hi Mkwe tungesemaje?
 
Back
Top Bottom