Umegundua nini kwenye picha hizi?

Nachoona ni Bideni kawakusanya ombaomba woote kutoka Africa na kupiga nao picha....

WaAfrica tungekuwa tunajipa muda na kukutana kuamua strongly yanayotuhusu kama kuwa na currency moja, language moja, kutoandoa viza, mitaala ya shule inayoendana na dunia ya sasa nk..
 
Hivi kwa nini Mama anamkwepa sana patina wake kwenye kusafiri nae!? Je anajisikia aibu kua na Mr wake!? Kama fungu la safari lipo,Sasa shida iko wapi!?
Yakhe sisi tumeishazoea kula ubwabwa kwa kutumia mikono. Sasa hayo mambo ya huko kutumia sijui umma sijui kijiko, nitayawezea wapi?

Halafu mimi kupanda midege siwezi, nimeishazoea zangu kupanda jahazi, raha mustarehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…