Umeiona hii? Viongozi wapo kazini ati

Umeiona hii? Viongozi wapo kazini ati

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
hii kali maana jamaa wanalijenga taifa inavyotakiwa
 

Attachments

  • viongozi.jpg
    viongozi.jpg
    35.8 KB · Views: 735
attachment.php


Naona ni kijana tu huko nyuma na Mzee Tingatinga (mtani wangu) hawajalala. Wengine wote wamejichokea zao mbaya. Ila njaa inabidi tu uendelee maana madaraka matamu ati.
 
attachment.php


naona ni kijana tu huko nyuma na mzee tingatinga (mtani wangu) hawajalala. Wengine wote wamejichokea zao mbaya. Ila njaa inabidi tu uendelee maana madaraka matamu ati.
si utani yaani hawa wako hoi kwa usingizi
 
Duh huyo 'mjeshi' mwenye nyeusi/dark blue ndio kalala kizembe kweli.
 
Hapo sasa likilipuka bomu kila adithi itasemwa
 
duh hao wakubwa wa majeshi ya polisi, anga na jeshi ndio hawana habari kabisa na kinachoendelea.......hii ndio Tz kila kitu tambalale
 
Waacheni wapumzike, wataamshwa wakati wa kutia saini nyaraka na kupongezana mwisho wa kikao!!
 
hata kama ni mimi ningelala, yani jua kali, halafu niangaike kusikiliza lihotuba lisilo na maana na kuangalia ligwaride la ambalo nimekuwa naliangalia miaka 48 ilopita?
 
alafu makofi yakipigwa,na wao wanastuka wanapiga makofi alafu wanalala tena,hii ndo bongoooooo staa sechi
 
alafu makofi yakipigwa,na wao wanastuka wanapiga makofi alafu wanalala tena,hii ndo bongoooooo staa sechi
loh,ndo manaake kama ulikuwepo vile,wanazuga kama ingawa wamelala wanasikia hotuba vilevile.
 
alafu makofi yakipigwa,na wao wanastuka wanapiga makofi alafu wanalala tena,hii ndo bongoooooo staa sechi

Halafu wewe hicho kipicha ulichoweka(avatar) kinanisumbua kweli!
 
Hi yo hotuba ilikuwa too boring nini?
Can you tell us ilikuwa ni tukio gani hilo?
 
Angalia yasije yakakukuta yaliyomkuta JM, maana kumulikwa mulikwa huwa hawapendi hawa.
 
Back
Top Bottom