Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Utupu umekuwa glorified
Sio tu kwa yale atakayaoyaona kwenye TV akiwa likizo ila hata siku ya gradu yake kuna wavaa wa utupu tupu watakuwepo siku hio kulingishiana mashepu.
Akiingia kwenye simu yako anaona ni jinsi gani mwanamke aliekaa kimalaya malaya anavyokuwa entitled katika jamii zaidi ya binti wa kawaida mwenye intellect na potential.
Anaona ni jinsi gani mwanamke mwenye historia za skendo za utupu utupu kupanda ngazi za juu kwenye mamlaka, so asioojiona kama hayuko sexy kama huyo mdada then anakuwa depressed.
Kizazi cha kufukuzia likes kwa njia yoyote ile
Kizazi cha future ya mwanamke kuwa determined na size makalio yake