Kila siku nasema kwann mnazungumza umalaya wa mwanamke Kila siku? Vitabu vya din vimeandika waliokuwepo Karne na karne
Kwann mnasahau watoto wa kiume?? Kwanin hampend kuzungumzia mwanaume au ni sawa mtoto wa kiume kujiuza kama mwanamke nashindwa kuelewa watu humu Kila kukicha ni mwanamke Malaya jikumbuke. Na watoto wenu wa kiume