Umejiandaaje kwa aibu itakayoletwa na Simba SC kwenye michuano ya Klabu Bingwa 2020/21?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Mambo vipi wadau.

Kitambo sana sijapost pahala hap. Ila niwape pole Mikia Fc kwa kupoteza mechi dhidi ya Morrison FC. Halafu ile freekick ya jamaa imewafanya Viongozi wa Simba wampigie simu Razak Abalora usiku wa Manane. Kwamba ajiandae msimu ujao avae zi wao.

Anyway tuachane na hayo.

Leo nimekuja kuwauliza wadau wa soka la kibongo. Kuwa mmejiandaaje na aibu itakayoletwa na Simba SC kwa mara nyingine tena kwenye tasnia ya soka la Bongo. maana iyo mechi ya jumapili ilibidi Yanga SC waondoke na mabao kama 3 kwa Nunge hivi.

Jamaa wana uchochoro wa ajabu sana uani kwao, hadi najiuliza kwa ubovu wa Yanga SC hii, wanapataje ushindi mzuri kiasi kile. Mikia inabidi mjitafakari kwa mara nyingine tena.

Licha ya ukweli kwamba msimu uliopita mlikuwa na kikosi kizuri zaidi ya cha msimu huu, na bado mliweza kupokea vipigo vya mabao matano matano. Je hivi kwa kikosi hiki dhaifu cha msimu huu mnapanga kufanya nini huko CAFCL kama sio kuendelea kutiana aibu na watu wakaidhalau ligi ya Bongo.

Mimi binafsi naiona kadhia iliyo karibu na kope zangu. kilichotokea nyuma kitajirudia tena na tena msimu ujao wa klabu bingwa.

Uchebe alikuwa na nafsi kubwa ya kuibadilisha timu yenu, Mo akajifanya nae ni mtaalamu wa soka akamsepesha. Huyu naye kishingo ndio usiseme kitu, hata mechi anazoshinda unakuta naye wamemuwekapo kagoli kamoja ka ushkaji.

Muandae pa kuziweka sura zenu, nionacho ni kwamba baadae kidogo ataikimbia timu baada ya vipigo vya kudharirisha Taifa, atajiweka pembeni pia kwa kuona anachokiweka hakiendani kabisa na anachokipata.

Byreeee!

1.jpg
2.jpg
3.jpg
 
Sisi mashabiki wa Simba tupo active mda wote tunajua matokeo ya mpira,hata tukicheza na Lipuli tupo active siyo nye mnajitokeza mkifunga Simba, mda wote mlikuwa wapi.

Points 3 mlizopata au kufunga simba haisaidii wakati upo nyuma points 17, jitahidini maana zamu hii kimataifa anaenda bingwa mshindi wa VPL tu na mshindi wa FA, tutakutana kwenye FA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mko ACTIVE MUDA WOTE.

Ila Shirikisho linawapongeza kwa uvumilivu maana viti vyao vimepona.
 
timu ya msimu uliopita ilikua nzuri ilitakiwa kuboreshwa tu, hakuna alieziba nafasi ya kotei, wamesajiliwa viungo wa mbele kibao akiumia mkude amna wa kucheza km yy kwe nafasi yake, kufungwa na yanga jana ni jambo jema sana limeonesha wapi timu inatakiwa iongeze nguvu maana kagere na bocco jana hawakupata kabisa huduma walioizoea toka kwa viungo
 
Unamuacha Kotei unasajili wauza matunda wa Brazil
timu ya msimu uliopita ilikua nzuri ilitakiwa kuboreshwa tu, hakuna alieziba nafasi ya kotei, wamesajiliwa viungo wa mbele kibao akiumia mkude amna wa kucheza km yy kwe nafasi yake, kufungwa na yanga jana ni jambo jema sana limeonesha wapi timu inatakiwa iongeze nguvu maana kagere na bocco jana hawakupata kabisa huduma walioizoea toka kwa viungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe shabiki maandazi tu, unakuwa active tu Yanga akishinda, shabiki wa kweli huwa na timu wote, ifungwe isifungwe, we umekuwa active baada ya niaka minne, naomba tutakutane FA na tuwafunge hlf tuone kama una uvumilivu wa kupost! Wenzako kama shadeeta tuko nao humu, iwe muda wa bakuli au wa kudraw 3/3 ba polisi. Siyo siku yanga ikimshinda simba tu, nazan baada ya miaka minne , utakuwa active wa kuvaa jezi la kijani pia hapo mtaani kwenu kwa wiki hii yote.
Kwa zile HAMSA HAMSA......

Heshima ya aina gani unayozungumzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni kulia lia bhana, anafungwa man city na Man u mbovu kuliko Simba bhana, yaani hamkubali kufungwa? mnataka muwe mnashinda nyie wenyewe tu? ushindani mzuri ni ule ambao na mwenzako pia lazima ashinde, tuwape Yanga heshima yao, walituzidi mbinu wakatufunga, thats all...
timu ya msimu uliopita ilikua nzuri ilitakiwa kuboreshwa tu, hakuna alieziba nafasi ya kotei, wamesajiliwa viungo wa mbele kibao akiumia mkude amna wa kucheza km yy kwe nafasi yake, kufungwa na yanga jana ni jambo jema sana limeonesha wapi timu inatakiwa iongeze nguvu maana kagere na bocco jana hawakupata kabisa huduma walioizoea toka kwa viungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli Simba timu ya kawaida sana, kinachowapumbaza washabiki ni vile vipasi vifupi fupi visivyokuwa na malengo, huko champion league watatolewa mapema tu, na MO ndipo atakapojiuzulu rasmi.
 
Simba hata hatua ya makundi haitafika labda icheze hatua ya mtoano na timu za Somalia, Eritrea, Madagascar, Shelisheli.

Ila kwa timu kama Zambia, Zimbabwe, Uganda, Kenya.

Simba hii haitafika hatua ya makundi labda kama benchi la ufundi litafumuliwa lote, Utafanyika Usajili kulingana na mahitaji ya benchi la ufundi jipya.

Simba Haina Beki wa kati, haina viungo wakabaji, haina mshambuliaji.

Champions League ukamtegemee Bocco?

We huko hatua ya makundi ulifika lini
 
Ingawa wewe ni mshabiki wa Yanga lakini umeongea vitu vyenye kumake sense
 
Mambo vipi wadau.

Kitambo sana sijapost pahala hap. Ila niwape pole Mikia Fc kwa kupoteza mechi dhidi ya Morrison FC. Halafu ile freekick ya jamaa imewafanya Viongozi wa Simba wampigie simu Razak Abalora usiku wa Manane. Kwamba ajiandae msimu ujao avae zi wao.

Anyway tuachane na hayo.

Leo nimekuja kuwauliza wadau wa soka la kibongo. Kuwa mmejiandaaje na aibu itakayoletwa na Simba SC kwa mara nyingine tena kwenye tasnia ya soka la Bongo. maana iyo mechi ya jumapili ilibidi Yanga SC waondoke na mabao kama 3 kwa Nunge hivi.

Jamaa wana uchochoro wa ajabu sana uani kwao, hadi najiuliza kwa ubovu wa Yanga SC hii, wanapataje ushindi mzuri kiasi kile. Mikia inabidi mjitafakari kwa mara nyingine tena.

Licha ya ukweli kwamba msimu uliopita mlikuwa na kikosi kizuri zaidi ya cha msimu huu, na bado mliweza kupokea vipigo vya mabao matano matano. Je hivi kwa kikosi hiki dhaifu cha msimu huu mnapanga kufanya nini huko CAFCL kama sio kuendelea kutiana aibu na watu wakaidhalau ligi ya Bongo.

Mimi binafsi naiona kadhia iliyo karibu na kope zangu. kilichotokea nyuma kitajirudia tena na tena msimu ujao wa klabu bingwa.

Uchebe alikuwa na nafsi kubwa ya kuibadilisha timu yenu, Mo akajifanya nae ni mtaalamu wa soka akamsepesha. Huyu naye kishingo ndio usiseme kitu, hata mechi anazoshinda unakuta naye wamemuwekapo kagoli kamoja ka ushkaji.

Muandae pa kuziweka sura zenu, nionacho ni kwamba baadae kidogo ataikimbia timu baada ya vipigo vya kudharirisha Taifa, atajiweka pembeni pia kwa kuona anachokiweka hakiendani kabisa na anachokipata.

Byreeee!

View attachment 1382000View attachment 1382001View attachment 1382002
Hivi 5-0 na 7 zipi nyingi? Ajabu ya kiwete kumcheka kilema!
 
Sisi mashabiki wa Simba tupo active mda wote tunajua matokeo ya mpira,hata tukicheza na Lipuli tupo active siyo nye mnajitokeza mkifunga Simba, mda wote mlikuwa wapi.

Points 3 mlizopata au kufunga simba haisaidii wakati upo nyuma points 17, jitahidini maana zamu hii kimataifa anaenda bingwa mshindi wa VPL tu na mshindi wa FA, tutakutana kwenye FA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye FA mnaweza mkapigwa 3-0...
 
Back
Top Bottom