Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushiriki wa Yanga mashindano CAF:Mambo vipi wadau.
Kitambo sana sijapost pahala hap. Ila niwape pole Mikia Fc kwa kupoteza mechi dhidi ya Morrison FC. Halafu ile freekick ya jamaa imewafanya Viongozi wa Simba wampigie simu Razak Abalora usiku wa Manane. Kwamba ajiandae msimu ujao avae zi wao.
Anyway tuachane na hayo.
Leo nimekuja kuwauliza wadau wa soka la kibongo. Kuwa mmejiandaaje na aibu itakayoletwa na Simba SC kwa mara nyingine tena kwenye tasnia ya soka la Bongo. maana iyo mechi ya jumapili ilibidi Yanga SC waondoke na mabao kama 3 kwa Nunge hivi.
Jamaa wana uchochoro wa ajabu sana uani kwao, hadi najiuliza kwa ubovu wa Yanga SC hii, wanapataje ushindi mzuri kiasi kile. Mikia inabidi mjitafakari kwa mara nyingine tena.
Licha ya ukweli kwamba msimu uliopita mlikuwa na kikosi kizuri zaidi ya cha msimu huu, na bado mliweza kupokea vipigo vya mabao matano matano. Je hivi kwa kikosi hiki dhaifu cha msimu huu mnapanga kufanya nini huko CAFCL kama sio kuendelea kutiana aibu na watu wakaidhalau ligi ya Bongo.
Mimi binafsi naiona kadhia iliyo karibu na kope zangu. kilichotokea nyuma kitajirudia tena na tena msimu ujao wa klabu bingwa.
Uchebe alikuwa na nafsi kubwa ya kuibadilisha timu yenu, Mo akajifanya nae ni mtaalamu wa soka akamsepesha. Huyu naye kishingo ndio usiseme kitu, hata mechi anazoshinda unakuta naye wamemuwekapo kagoli kamoja ka ushkaji.
Muandae pa kuziweka sura zenu, nionacho ni kwamba baadae kidogo ataikimbia timu baada ya vipigo vya kudharirisha Taifa, atajiweka pembeni pia kwa kuona anachokiweka hakiendani kabisa na anachokipata.
Byreeee!
View attachment 1382000View attachment 1382001View attachment 1382002
Mambo vipi wadau.

Wewe team yako iliyo nzuri ikashiriki champions league!Kiukweli Simba timu ya kawaida sana, kinachowapumbaza washabiki ni vile vipasi vifupi fupi visivyokuwa na malengo, huko champion league watatolewa mapema tu, na MO ndipo atakapojiuzulu rasmi.
timu haina kipa ,beki ,viungo wala mshambuliaji ? Na bado ni timuuu kwelii acheni uongo na dharau za kijinga kias hichoSimba hata hatua ya makundi haitafika labda icheze hatua ya mtoano na timu za Somalia, Eritrea, Madagascar, Shelisheli.
Ila kwa timu kama Zambia, Zimbabwe, Uganda, Kenya.
Simba hii haitafika hatua ya makundi labda kama benchi la ufundi litafumuliwa lote, Utafanyika Usajili kulingana na mahitaji ya benchi la ufundi jipya.
Simba Haina Beki wa kati, haina viungo wakabaji, haina mshambuliaji.
Champions League ukamtegemee Bocco?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unataka kumfananisha NONGA, LYANGA, MOLINGA, LUSAJO, na Akina MULEKA?timu haina kipa ,beki ,viungo wala mshambuliaji ? Na bado ni timuuu kwelii acheni uongo na dharau za kijinga kias hicho
siku zote timu bora huchukua lig
Hao wote unaowataja hawachezi simbaYaani unataka kumfananisha NONGA, LYANGA, MOLINGA, LUSAJO, na Akina MULEKA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo kikubwa cha umasikini ni uvivu (kufikiria na kufanya kazi) cha pili ni kufanya maamuzi ya hisia nasio ueledi
Wajanja wamekula hela ya Kanjibai.
KunA yanga 0 - 4 Gor mahia (2018)Ushiriki wa Yanga mashindano CAF:
1982-aL ahly vs Yanga (5-0)
1998 Al Ahly vs Yanga (4-0)
1998 Raja C VS yANGA (6-0)
2000 Zamalek VS Yanga (4-0)
2017 US Algers vs Yanga (4-0) .Bila kusahau 3 X 3 za kutosha tu.
Nani kavunja rekodi?
hamna kitu hapo, yupo kwenye kundi la wapiga dili unadhani kuna la maana atafanya?Chanzo kikubwa cha umasikini ni uvivu (kufikiria na kufanya kazi) cha pili ni kufanya maamuzi ya hisia nasio ueledi
Usipobadilika utakufa na njaa jitahid kuzuia hisia jamaa yupo vizur tatizo ni wewe
Mkuu hapana, Simba anawachezaji wazuri kushindana VPL sio huko CCL. Ndiyo maana vipigo nje vilikua vingiHao wote unaowataja hawachezi simba
Simba ina quality player wa nchi zote ambazo tuna mpka nazo expt Malawi
Kikosi cha simba ni bora na kitafika mbali
Aaaah sawa ila unajua kujenga timu ya kuchukua CcL ni process ndefu hivyo hiki kikosi kinatakiwa kiwe na uwezo wa kufika walau makundi alafu ndio apo wataweza kushawishi wachezaji wakubwaMkuu hapana, Simba anawachezaji wazuri kushindana VPL sio huko CCL. Ndiyo maana vipigo nje vilikua vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kushawishi kwa hela gani? Yaani walishindwa kuvunja benki kwa Tuyisenge & Bwalya. Matokeo yake wakaenda kuwaokota huko akina Wilker da Silva.Aaaah sawa ila unajua kujenga timu ya kuchukua CcL ni process ndefu hivyo hiki kikosi kinatakiwa kiwe na uwezo wa kufika walau makundi alafu ndio apo wataweza kushawishi wachezaji wakubwa