Umejiandaaje na mlipuko mpya wa Human Metapneumo Virus (HMPV)?

Umejiandaaje na mlipuko mpya wa Human Metapneumo Virus (HMPV)?

nasikia kirusi sio kipya, kinafahamika miaka zaidi ya 20 sasa, wanasema sio cha kutisha

media za india zinajaribu kulikuza sana hili suala ili zipige hela, inasemekana kipindi cha corona media zilifuatiliwa sana kwasababu ya ile sintofahamu

pia serikali ya china haijatangaza state of emergency, hilo halijathibitishwa

na pia kuna clip zinazosambazwa zimetengenezwa na AI
 
COVID yenyew sijui Kama imeisha maana kuna upepo wa pneumonia Unaondoka na watu kimya kimya Toka mwaka jana,,,,kuna jamaa yangu alifiwa na sis yake tena alikua young 30s,
Kuna ukweli kwenye hili.
Afu Raia wanafichwaa. Daaah
 
Back
Top Bottom