Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IshapitaKwani Bongo imeshafika...?
Link pleaseUbert angel yule NABII alisema hii kitu , ila sikujua ni kipindi gani cha mwaka . Aidhaalisema kuwa itakuwa mbaya kuliko corona hapo ndipo niliogopa na haitadumu muda mrefu
Manabii wengi walitabiri hii.Ubert angel yule NABII alisema hii kitu , ila sikujua ni kipindi gani cha mwaka . Aidhaalisema kuwa itakuwa mbaya kuliko corona hapo ndipo niliogopa na haitadumu muda mrefu
Hakuna virus hakuna nini,utapeli mtupu.Last time with Covid-19 walibatiza Seasonal Flu in Europe wakaiita Covid,hatimaye wakaua watu wengi kwa kutumia dawa kama Remdesivir nk. hasa wazee na kudai kuwa wamekufa kwa Covid.Huku kwetu Africa hawakupata sana mwanya huo kwa kuwa sisi usually hatuna seasonal flu.Hata hivyo kwa kutumia our corrupt leaders walibatiza magonjwa mengi kuwa Covid.Umejiandaa VIPI na mlipuko mpya wa Human Metapneumo Virus ( HMPV ) ulianzia huko China ambao virusi vina tabia Sawa na zile za Uviko ?
Mathanzua
Sema tuwaombe wazungu watafute chanjo haraka, sisi tuko bize na kura za urais tusije tukazikosa.Tuombe Neema ya Mungu hili nalo litapita
Hao ndio wanaoanzisha wakijua itawakost watu fulani ila nchi itafaidika pakubwa kuuza dawa,Kuimarika kiuchumi n.kSema tuwaombe wazungu watafute chanjo haraka, sisi tuko bize na kura za urais tusije tukazikosa.