Umejiandaaje na ugumu wa January?

Umejiandaaje na ugumu wa January?

I knew, ni lifala moja tu ambalo litakua kwenye Ignore list.......liendelee kupiga nyeto huko linikome
 
Yaani sijui January alileilaani ni nani pesa Huwa hazitaki mazoea michongo hamna alafu pisi ndo zinashoboka so sad 😢 😢
 
Mimi nina mshkaj wangu ni daktar katka hospital binafsi hivyo nikionaga mambo hayatembei January huaga naenda kujifanya nimezidiwa pale kwa jamaa yangu ananiandikia mixture dawa kumbe me mzima na ninalazwa kama wiki mbili hivi huku nyuma wife analipia kila kitu me hela yangu najifanya najiuguza kwaio hela zangu wife anajua zinaishia kujiuguza kumbe usiku natoka zangu na maisha yanaendelea swafi na January inakata kiwepesi nampoza hela ya bia mbili jamaa yangu mchezo unakua umeisha kwa stail hio
Porridge
 
Kwenye kikao Cha mwisho wa mwaka Cha wanaume .
Mwenyekiti amelalamika Sana kuwa Kuna wanaume wanashusha heshima yetu kwa nguvu na sio muda tukiwakamata tutawafukuza kwenye chama chetu watajua wanaenda wapi .
Hapa nimegundua wewe inabidi uwe mmoja wa wataotimuliwa ,wacha nitume jina kwa chair ,huwezi kwepa majukumu alafu kujisifia hapa
Sawasawa, kazi yetu ni...to lead, provide, protect and love. Soma Ephesians. Siku njema.
 
Back
Top Bottom