Umejiandaaje na ugumu wa January?

Umejiandaaje na ugumu wa January?

Yaani sijui January alileilaani ni nani pesa Huwa hazitaki mazoea michongo hamna alafu pisi ndo zinashoboka so sad [emoji22] [emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
January au Njaanwary haipo mbali, Leo ni ijumaa ya mwisho wa mwaka 2024

We safiri, chezea pesa, kesha bar ila mgeni katili anakuja soon

1. Ada ya shule ni January
2.Kodi za frem January
3. Kodi ya TRA January
4. Mchepuko upo Moshi unahitaji nauli kurudi town
5. Bidhaa zinapanda bei January

Ongezea........
FB_IMG_1735623774824.jpg
 
Back
Top Bottom