Umejiandaaje na uwepo wa Anti-Christ

Umejiandaaje na uwepo wa Anti-Christ

Joined
Jun 12, 2024
Posts
28
Reaction score
38
Kuna hii kitu ambayo inaitwa Anti Christ. Kitu hii kweli mbona inakuja kwa kasi sana wakuu nyie mmejiandaaje?

antii.jpg
 
Anza wewe kujiandaa,achana na wengine...jifunze kusimama peke yako.Watu washachafukwa,hakuna wanalolielewa,hakuna linalokamatika....hawaogopi kifo,hawaogopi hukumu.....Jifunze kusimama pekeyako mkuu.....kifo chako ndiyo mwisho wa yote.Relax
Umekula nini kwani leo 😂😂
 
Anza wewe kujiandaa,achana na wengine...jifunze kusimama peke yako.Watu washachafukwa,hakuna wanalolielewa,hakuna linalokamatika....hawaogopi kifo,hawaogopi hukumu.....Jifunze kusimama pekeyako mkuu.....kifo chako ndiyo mwisho wa yote.Relax
swala sio kusimama peke yako swala ni aliposimama ni sahihi...??
 
Anza wewe kujiandaa,achana na wengine...jifunze kusimama peke yako.Watu washachafukwa,hakuna wanalolielewa,hakuna linalokamatika....hawaogopi kifo,hawaogopi hukumu.....Jifunze kusimama pekeyako mkuu.....kifo chako ndiyo mwisho wa yote.Relax
 
Watu waliobuni uongo na kuuficha kwenye vitabu kwa kusimika mizizi ya hofu waliweza kubaini kuwa huo uongo hauwezi ku last forever.

Walijua kadri miaka inavyozidi kusogea ndio jinsi elimu inavyozidi kusambaa, na elimu ndio silaha pekee iliyokuwa ikihatarisha hilo dhumuni lao.

Kwa hiyo katika kutafakari namna gani ya kudumisha uongo wao uzidi kumea.

Wakaona wazo sahihi ni kuweka cautions ili baadaye hizo dalili za watu kuanza kuusanukia huo uongo zikianza kujitokeza basi upande wao uta gain nguvu ya kuzidi kuaminiwa kwasababu itaonekana ni maandiko ya Mungu kweli kwakua kilichotabiriwa kimetokea.

Hii pia peke yake itazidi kuwapa nguvu wale ambao awali waliamini hii nadharia (ambayo ni ya uongo) kuwa wapo kwenye mstari sahihi na kuwafanya waondokane na wazo la kufikiria nje ya box.
 
Back
Top Bottom