SILLENT KILLER 2
Member
- Jun 12, 2024
- 28
- 38
Umekula nini kwani leo 😂😂Anza wewe kujiandaa,achana na wengine...jifunze kusimama peke yako.Watu washachafukwa,hakuna wanalolielewa,hakuna linalokamatika....hawaogopi kifo,hawaogopi hukumu.....Jifunze kusimama pekeyako mkuu.....kifo chako ndiyo mwisho wa yote.Relax
swala sio kusimama peke yako swala ni aliposimama ni sahihi...??Anza wewe kujiandaa,achana na wengine...jifunze kusimama peke yako.Watu washachafukwa,hakuna wanalolielewa,hakuna linalokamatika....hawaogopi kifo,hawaogopi hukumu.....Jifunze kusimama pekeyako mkuu.....kifo chako ndiyo mwisho wa yote.Relax
Huenda anajiona kasimama,hivyo ajiangalie vizuriswala sio kusimama peke yako swala ni aliposimama ni sahihi...??
Anza wewe kujiandaa,achana na wengine...jifunze kusimama peke yako.Watu washachafukwa,hakuna wanalolielewa,hakuna linalokamatika....hawaogopi kifo,hawaogopi hukumu.....Jifunze kusimama pekeyako mkuu.....kifo chako ndiyo mwisho wa yote.Relax