Umejiandaje kusoma bila boom.

Umejiandaje kusoma bila boom.

Nitauza mbuzi wangu 2, sasa nitafanyaje na ninataka kusoma..
 
uo ndiyo ukidume,iyo hali ndugu ilinitokea namimi o-level form 3+4 na advance form 5 nlikuwa narudishwa darasan na mwenzangu mmoja,yaan wawil tu,lakn mungu alisaidia nkamaliza baada ya kufika form 6 na kulipa ada kikamilifu.mungu tumshukuru na tupate boom hata asilimia ndogo poa tu.

Kweli mkuu, pamoja sana.
 
wape njia/mbinu ulizokuwa unatumia kusoma ukiwa na hali ngumu na ukata.

Mkuu mbinu ni nyingi, kikubwa ni kuyasoma mazingira ya chuo husika ili kuumiza kichwa jinsi ya kusurvive. Kwa mfano mimi kuna kipindi nilikua mpaka nawafanyia watu assignments kwa malipo, au wakati mwalimu ametoa kazi ya group mimi naenda kuchimba naifanya mwenyewe then kama ni group la watu kumi natafuta watu tisa wale ambao hawako serious hawana ma group na kuwatoza let's say 2000/= per person ili kumuweka mtu kwenye group langu. Hii ni mojawapo ya mbinu.
 
Safi sana
 
great thinker
 
daa!noma xna! na inaumiza kwan ackudanganye m2 kusoma bla boom unaweza kata tamaa ya kusoma! kwanza utakuwa alwayz uko c2recd na saicologcally unaweza fel masom kwan muda wte utawaza wap utoe ada, stationery hasa zktolewa endout na hapo ndo panaumiza!

Unaenda kusomea kozi gani? Maana maandishi yako yanatatanisha!!
 
Ndugu zangu boom is not necessary for survival of a student kwa university. I never had no boom from no government and my folks weren't wealthy but still survived and it rose my anger towards achieving academic excellence and get the hell out of that place. Imagine sometimes you go back home on weekend and your father tells you that he has no money at that time and see your siblings are chased out of school for not paying school fees. Unarudi chuo with nothing in ur pockets lakini kwa kuunga unga unaishi hivyo hivyo till I graduated. Ukizaliwa mwanaume learn how kuvumila shida.

Emu tupe hizo njia mkuu ulizosurvive nazo ..manake nasikia wengine huwa wanasodoka
 
Ndugu zangu boom is not necessary for survival of a student kwa university. I never had no boom from no government and my folks weren't wealthy but still survived and it rose my anger towards achieving academic excellence and get the hell out of that place. Imagine sometimes you go back home on weekend and your father tells you that he has no money at that time and see your siblings are chased out of school for not paying school fees. Unarudi chuo with nothing in ur pockets lakini kwa kuunga unga unaishi hivyo hivyo till I graduated. Ukizaliwa mwanaume learn how kuvumila shida.

hongera kwa kutokuwa na mpango wa kukwepa kulipa deni la heslb!
Kaka tunatofautiana sana, wapo watu wanatoka ktk mazingira yanayoumiza! mfano nmesoma shule za gvt Mbeya sec na Azania na kote nmekutana na wana wasiojua kulipa ada kutokana na kukosa pesa. Vipi akose boom, atajiaccomodate vp, gharama za stationery, nauli na ada pia?, achilia mbali luxuries ambazo hazna umuhim.
Ww ulisomaje?

Ahsante
 
Mkuu mbinu ni nyingi, kikubwa ni kuyasoma mazingira ya chuo husika ili kuumiza kichwa jinsi ya kusurvive. Kwa mfano mimi kuna kipindi nilikua mpaka nawafanyia watu assignments kwa malipo, au wakati mwalimu ametoa kazi ya group mimi naenda kuchimba naifanya mwenyewe then kama ni group la watu kumi natafuta watu tisa wale ambao hawako serious hawana ma group na kuwatoza let's say 2000/= per person ili kumuweka mtu kwenye group langu. Hii ni mojawapo ya mbinu.

salute mkuu!
 
Back
Top Bottom