KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Ulifukuzwa kaz ukiwa umeoa?Habari za muda huu wapendwa.....,...
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.....
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako......
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa......lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.......
Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.........
NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.................
Ndio mkuu........Ulifukuzwa kaz ukiwa umeoa?
Kwenye kutoa ndo heshima ya mwanaume ipo hapo.Habari za muda huu wapendwa.....,...
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.....
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako......
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa......lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.......
Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.........
NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.................
Ndio mkuu........
Hakika dunia nzima ipo hivyo.......na pindi unapokoma kutoa ndio unapoanza kupoteza upendo na mamlaka kwa ulikuwa ukiwapaK
Kwenye kutoa ndo heshima ya mwanaume ipo hapo.
Kabisa mkuu unajikuta sehemu ukutegemea.Nimejifunza kuna wakati maisha yanakuchapa vilivyo then yanakuchagulia kazi ya kufanya.
Nimejifunza ustahimilivu katika nyakati zinazokuja kwenye maisha yetu na kutuletea matokeo hasi ambayo ni kinyume na matarajio hivyo inatupasa kujifunza pia kusimama wenyewe kwenye nyakati hizo.Habari za muda huu wapendwa.....,...
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.....
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako......
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa......lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.......
Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.........
NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.................
Hakika🪑🪑🪑🪑🎶🎶💺💺📌📌📌📌Nilichojifunza, tunatakiwa kutunza sana pesa na kuiheshimu.
Habari za muda huu wapendwa.....,...
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.....
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako......
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa......lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo unaweza kunufaika kwayo siku za mbeleni.......
Si vibaya kama uta share baadhi matukio ya nyakati hizo zilizokufanya ujifunze mambo mengine ya msingi.........
NB;
Mimi binafsi nilipofukuzwa na kazi na kuishi maisha ya dhiki ndio nilijifunza kuwa thamani ya mwanamume kwenye jamii, ndoa au hata familia ipo kwenye kutoa.................
Yeahnilijifunza tu kuwa sina marafiki nina watu wengi nna watu tu nnaojuana nao