youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Umejifunza digital skill yako, ila hujui jinsi ya kupata pesa kwenye hiyo skill yako?
Mimi napenda kujifunza skills mpya.
Mika mitano nyuma nimekuwa nikiuza kila skill ninayojifunza kwa kufanya freelancing.
Ila kwa sasa game imebadirika.
Tunatumia hizi mbinu 👇👇👇
Kwanza jifunze skill moja ambayo itatumika kama main skill au main brand yako.
Chagua skill moja kwanza, nyingine utazijua badae.
Share kile unachojifunza kila siku, ingia deep, share results.
Watu watakuja dm uwafundishe, utapata pesa ya kuanzia.
Lipisha pesa kufundisha
Geuza skill zako kuwa products
Nitakupa mfano hapa
Siku hizi tunauza information
Uza kozi, uza ebook, uza live classes, uza consultation.
Umejifunza kitu kwa kingereza, kibadirishe kuwa kiswahili uza.
Utapata pesa ya vocha.
Ukitaka pesa nzuri uza global marketplace
Jifunze kwa agency ambazo zinatoa huduma kama yako.
Mfano mimi nilikuwa natafuta agencies tofauti nafanya nazo kazi.
Watakulipa pesa ndogo lakinj utajifunza mabo mengi sana.
Pia ukipata kampuni inayotoa huduma kama yako unaweza kuomba kuwasaidia kazi zao.
Tafuta individual clients kupitia freelancing.
Hapa utapata watu wengi kuwa kutengeza profile n gigs kwenye Freelancing platforms.
Clients are the best teacher.
Tafuta wateja / clients watakulipa utajenga portfolio kubwa.
Tengeneza community ya watu.
Ukiwa unajifunza skills au kitu chochote, tumia huo muda kuandaa community ya watu.
Kuna skills ukizitaja tu kuna majina ya watu yanakuja kichwani.
Na wewe pia hakikisa unatengeneza jina lako kupata authority.
Ukishindwa kufanya watafanya wengine
Usipende kulipia kila kitu kujifunza.
Jifunze kwa kulipwa👇👇
Utalipwa kwa kusaidia watu wengine, kufundisha, kufanya kazi, kuuza package, courses, ebook, kufanya kazi na agency.
Mwisho wa siku unakuwa umejifunza vitu vingi zaidi