only in Tanzania vyakula / vinywaji vina jinsiaNimesoma uzi wa Mzigua90 anasema eti wanaume hatutakiwi kula Chips na kunywa pombe aina ya wine(japo mimi sinywagi pombe).
Aaah kumbeNimejifunza kuwa the first to reply kunakufanya uwe famous kama Joseverest
Mkuu kwani hili swali linahusu wanafunzi tu??Wanafunzi mtatuchosha sasa. Mmemis hilo swali nini? Mimi JF nakujaga kufurahi tu...stress zote naziacha LinkedIn
Nimejifunza hii mada sio ya wanafunzi tuMkuu kwani hili swali linahusu wanafunzi tu??
Kwani wewe hujifunzi kupitia maisha na changamoto kama unajifunza
Ujue ndicho ninachomaanisha hapa!!
Inshallah [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hahahah i agree mkuu