Umejifunza kitu gani kizuri leo??

Umejifunza kitu gani kizuri leo??

Nimesoma uzi wa Mzigua90 anasema eti wanaume hatutakiwi kula Chips na kunywa pombe aina ya wine(japo mimi sinywagi pombe).
 
Upendo upendo upendo, hasa kwa watu wanaonihusu
 
Nimesoma uzi wa Mzigua90 anasema eti wanaume hatutakiwi kula Chips na kunywa pombe aina ya wine(japo mimi sinywagi pombe).
Ahaah nakazia hapo kwenye wanaume kunywa pombe lakini kuhusu chips ni chakula tu kama ugali
 
Wanafunzi mtatuchosha sasa. Mmemis hilo swali nini? Mimi JF nakujaga kufurahi tu...stress zote naziacha LinkedIn
 
Leo nilikuwa na shughuli ya kutongoza wake za watu tu,kati ya kumi niliowaimbisha saba wamekubali Leo hiihii,mmoja kachomoa na wawili wameniambia watanijibu
Nalog off
 
What I learnt today
IMG_20180604_215517.jpg
 
Wanafunzi mtatuchosha sasa. Mmemis hilo swali nini? Mimi JF nakujaga kufurahi tu...stress zote naziacha LinkedIn
Mkuu kwani hili swali linahusu wanafunzi tu??
Kwani wewe hujifunzi kupitia maisha na changamoto kama unajifunza
Ujue ndicho ninachomaanisha hapa!!
 
Mkuu kwani hili swali linahusu wanafunzi tu??
Kwani wewe hujifunzi kupitia maisha na changamoto kama unajifunza
Ujue ndicho ninachomaanisha hapa!!
Nimejifunza hii mada sio ya wanafunzi tu
 
Hakuna kitu muhimu kama kumiliki boma lako..hata ule mara 1 kwa siku..
 
Back
Top Bottom