Umejifunza nini kupitia huu wimbo?

binafsi jambo nsilopenda kufanyiwa sipendi kulifanya kwa wengine, kuna muda n vyema kuwaelewa watu na mabaya yao kuliko kuhukumu au kuyahesabu.

Ndio huwa ipo hivyo unamfanyia mtu mazuri mengi hayaoni ila kosa moja tu unakuwa umeshaharibu yale mazuri yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…