Umejifunza nini kwenye Simba Super Cup

Umejifunza nini kwenye Simba Super Cup

Wakicheza hivi na kubadilisha izo chance na kuwa magoli watafika mbali sana.
Hivi unafkiri mazembe champions league huwa wanacheza hvyo mkuu?

Chekundu happy mkuu, wajinga ndio waliwao
 
Nimeshangazwa Sana hadi wanaume pale uwanjani nawao walikuwa wanaimba wimbo wa Sukari huku wakilamba......naomba msaada kama ule wimbo unawahusu na Wanaume pia
 
1.wanasimba wameichoka timu yao. Simba. Sio kwenye ligi au Hilo bonanza hakuna washabiki wakutosha Kama misimu miwili ilopita
2.uongozi wa Simba ungezialika tu timu hizi lakini kusema Kuna "super cup" hicho ni kichekesho tu Ili mtu apewe kombe walau acheze mechi 3.
3.Yanga Ndio timu yenye mashabiki wengi zaidi Tanzania, pia Yanga wanajua kupromote vitu vyao. Simba haijui promosheni tena wasithubutu kumwacha Mabara, anafanya kazi kubwa Sana, angekuwa mwingine Hawezi kabisa.
Corona umeisahau sio?
 
Simba kwa sasa ina wachezaji wanaopigania namba na kwa kuwa ni hivyo basi contribution yao uwanjani ni kubwa na hakuna kutegea maana ukizembea kucheza wenzako wataitumia fursa hiyo.
Ninachoshauri ni kwamba Simba itoke kwenye more entertaining football playing kwenda kuwa more clinical football playing dhidi ya adui yaani wawe watu wa kutafuta mpira uende wavuni zaidi kuliko kuburudisha maana huko Africa kinachotazamwa ni nani ametumia nafasi za kuscore zaidi sio aliyechezea mpira zaidi.

Simba ni wazuri ,hakuna ubishi
 
Nimegundua wapinzani wameficha mbinu zao kuogopwa kusomwa na wapinzani wao kwenye grp stage. Simba kama jina mbumbumbu fc wameziweka zote wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] cheza na alama za nyakat mtani. Ngoja wenyewe wakaje toka kwa nchi ya falao jitu katiri wakaje kukupubiza nyingi[emoji1787][emoji1787]
Kwa ulinwengu wa sasa wa digital huwezi kuficha mbinu ,hao wote kama kina Al Ahly zao zinaendelea na zipo live sasa mbinu wamezificha wapi,cha msingi ni kuwa na wachezaji wazuri na wenye ari ya kutafuta na kubadili matokeo
 
Nimegundua wapinzani wameficha mbinu zao kuogopwa kusomwa na wapinzani wao kwenye grp stage. Simba kama jina mbumbumbu fc wameziweka zote wazi🤣🤣🤣 cheza na alama za nyakat mtani. Ngoja wenyewe wakaje toka kwa nchi ya falao jitu katiri wakaje kukupubiza nyingi🤣🤣
Tulieni tuwatafutie Nafasi ya viti maalum Nyau nyie.
 
1.wanasimba wameichoka timu yao. Simba. Sio kwenye ligi au Hilo bonanza hakuna washabiki wakutosha Kama misimu miwili ilopita
2.uongozi wa Simba ungezialika tu timu hizi lakini kusema Kuna "super cup" hicho ni kichekesho tu Ili mtu apewe kombe walau acheze mechi 3.
3.Yanga Ndio timu yenye mashabiki wengi zaidi Tanzania, pia Yanga wanajua kupromote vitu vyao. Simba haijui promosheni tena wasithubutu kumwacha Mabara, anafanya kazi kubwa Sana, angekuwa mwingine Hawezi kabisa.
Ubisha vitu vya kijinga sana bisha shaka hizo ndo story unayokesha nayo kijiwe kubishana hadi siku inapita
 
Simba kwa sasa ina wachezaji wanaopigania namba na kwa kuwa ni hivyo basi contribution yao uwanjani ni kubwa na hakuna kutegea maana ukizembea kucheza wenzako wataitumia fursa hiyo.
Ninachoshauri ni kwamba Simba itoke kwenye more entertaining football playing kwenda kuwa more clinical football playing dhidi ya adui yaani wawe watu wa kutafuta mpira uende wavuni zaidi kuliko kuburudisha maana huko Africa kinachotazamwa ni nani ametumia nafasi za kuscore zaidi sio aliyechezea mpira zaidi.

Simba ni wazuri ,hakuna ubishi
Chief umeongea kitu ambacho hata mm kinanikera sana, chkulia game al hilal, wenzetu ktk zile nafas chache walipata unaona kabisa wanataka goli... sis tunafurahia kucheza na mbwembwe
 
Back
Top Bottom