OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
huyo amewaza kama utopoloSababu ya kutokwenda uwanjani iko wazi, tokea itokee hili janga la covid mashabiki wamepunguza kwenda viwanjani.
Yuko sahihi kwa tuliokwenda mechi ya Simba na platnum mageti yaliyofunguliwa ni machache matokeo yake tulichelewa kuingia uwanjani na fujo wakati wa kuingia, kwa hili janga ni vema kuchukua tahadhali.huyo amewaza kama utopolo
Hivi unafkiri mazembe champions league huwa wanacheza hvyo mkuu?Wakicheza hivi na kubadilisha izo chance na kuwa magoli watafika mbali sana.
Tena mavi yaliyooza.Simba hawana tofauti na zigo la mavi.
Corona umeisahau sio?1.wanasimba wameichoka timu yao. Simba. Sio kwenye ligi au Hilo bonanza hakuna washabiki wakutosha Kama misimu miwili ilopita
2.uongozi wa Simba ungezialika tu timu hizi lakini kusema Kuna "super cup" hicho ni kichekesho tu Ili mtu apewe kombe walau acheze mechi 3.
3.Yanga Ndio timu yenye mashabiki wengi zaidi Tanzania, pia Yanga wanajua kupromote vitu vyao. Simba haijui promosheni tena wasithubutu kumwacha Mabara, anafanya kazi kubwa Sana, angekuwa mwingine Hawezi kabisa.
Kwani mwaka juzi kwenye champion League tulitoka nao ngapingapi? Hapa bongoHivi unafkiri mazembe champions league huwa wanacheza hvyo mkuu?
Chekundu happy mkuu, wajinga ndio waliwao
Kwa ulinwengu wa sasa wa digital huwezi kuficha mbinu ,hao wote kama kina Al Ahly zao zinaendelea na zipo live sasa mbinu wamezificha wapi,cha msingi ni kuwa na wachezaji wazuri na wenye ari ya kutafuta na kubadili matokeoNimegundua wapinzani wameficha mbinu zao kuogopwa kusomwa na wapinzani wao kwenye grp stage. Simba kama jina mbumbumbu fc wameziweka zote wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] cheza na alama za nyakat mtani. Ngoja wenyewe wakaje toka kwa nchi ya falao jitu katiri wakaje kukupubiza nyingi[emoji1787][emoji1787]
Hata wao wanacheza ulimwengu huu kwenye soka kila kitu kipo waziHamna kitu, mbinu wakitaka wanaangalia Games zotee, kwan sizipo??
Utopolooo ni uto kweli
Tulieni tuwatafutie Nafasi ya viti maalum Nyau nyie.Nimegundua wapinzani wameficha mbinu zao kuogopwa kusomwa na wapinzani wao kwenye grp stage. Simba kama jina mbumbumbu fc wameziweka zote wazi🤣🤣🤣 cheza na alama za nyakat mtani. Ngoja wenyewe wakaje toka kwa nchi ya falao jitu katiri wakaje kukupubiza nyingi🤣🤣
Ubisha vitu vya kijinga sana bisha shaka hizo ndo story unayokesha nayo kijiwe kubishana hadi siku inapita1.wanasimba wameichoka timu yao. Simba. Sio kwenye ligi au Hilo bonanza hakuna washabiki wakutosha Kama misimu miwili ilopita
2.uongozi wa Simba ungezialika tu timu hizi lakini kusema Kuna "super cup" hicho ni kichekesho tu Ili mtu apewe kombe walau acheze mechi 3.
3.Yanga Ndio timu yenye mashabiki wengi zaidi Tanzania, pia Yanga wanajua kupromote vitu vyao. Simba haijui promosheni tena wasithubutu kumwacha Mabara, anafanya kazi kubwa Sana, angekuwa mwingine Hawezi kabisa.
Mi nashangaa hawa huwa tunashindana kitu gani ,haifai hata kuwa watani wa jadi maana ni mbingu na ardhiSafari hii akija Sevilla atakula goli za kutosha, utopolo hastahili kuwa mpinzani wetu labda jirani yetu maana Simba wapo juu.
Tunatakiwa tupelekwe lig ya magiant kama cc only unbeaten club worldwideTulieni tuwatafutie Nafasi ya viti maalum Nyau nyie.
Chief umeongea kitu ambacho hata mm kinanikera sana, chkulia game al hilal, wenzetu ktk zile nafas chache walipata unaona kabisa wanataka goli... sis tunafurahia kucheza na mbwembweSimba kwa sasa ina wachezaji wanaopigania namba na kwa kuwa ni hivyo basi contribution yao uwanjani ni kubwa na hakuna kutegea maana ukizembea kucheza wenzako wataitumia fursa hiyo.
Ninachoshauri ni kwamba Simba itoke kwenye more entertaining football playing kwenda kuwa more clinical football playing dhidi ya adui yaani wawe watu wa kutafuta mpira uende wavuni zaidi kuliko kuburudisha maana huko Africa kinachotazamwa ni nani ametumia nafasi za kuscore zaidi sio aliyechezea mpira zaidi.
Simba ni wazuri ,hakuna ubishi