Umejifunza nini kwenye Simba Super Cup

Simba ni sawa na Shilole! Ananunua pete mwenyewe anampa mwanaume amvalishe halafu anachekelea!!!
 
SIMBA SC ni timu ya mpira wa miguu haswa na mwaka huu anabeba kombe la ligi kuu pamoja na FA.Kimataifa anafika mbali pia,Hata madeko Fc a.k.a Utopolo wakiamua kuiga itawasaidia.
 
Simba kwa kiasi ka study jinsi wa "Sudan" wanavyocheza na uwezo wao (El Merreikh).
Pia As Vita (Tp Mazembe)...imewaongezea kujiamini..hii ilikuwa ni contingecy plan baada ya Coach Sven kuondoka,kumwonesha new coach aina ya team aliyinayo na wapi pa kufanyia kazi mapema kujiandaa na champions league na ligi kuu..naona imemsaidia saaana coach,pia mashabiki tumepata confidence na maamuzi sahihi ya board,kudos!
 
Timu zotezilijitahidi kuficha mbinu zake halikadhalika Simba.
Simba haikuchezesha wachezaji wake wote wa first 11 ,, akina Kagere , Kapombe, Manula, Boko, Mkude nk.
Kila timu itakuwa tofauti watakapokutana kwenye mashindano.
Japo watakuwa angalau wamewasoma baadhi ya first 11 ambao kila timu iliwatumia.

Timu zote zimepata wasaa wa kupasha misuli na wenzao wa champions league kabla ya league yenyewe kuanza.

+ve
Maoni bila ushabiki.



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mabara ndio Nani?? Ukiwa Utopolo na akili inakuwa Utopolo!
 
Nimejifunza ubunifu wa pisi kali C.E.O Barbara ni wa kiwango cha juu sana.Simba tutarajie mambo mazuri siku za usoni.
Tofauti na yule aliechukuliwa na Uto kama mshauri wa kuwashauri mataahira.
 
Simba watatetea ubingwa wa ligi na wa FA.
club bingwa watakomea robo fainali kama ilivyokuwa msimu wa 2018/2019
Mtatetea labda ubingwa wa Mabonanza! Bingwa wa mwaka huu tayari anajulikana. Na hata huko kwenye makundi, sidhani kama mtafika kokote.

Mtaishia tu kuwa mabingwa wa hayo mabonanza mnayo jiandalia wenyewe.
 

Mtatetea labda ubingwa wa Mabonanza! Bingwa wa mwaka huu tayari anajulikana. Na hata huko kwenye makundi, sidhani kama mtafika kokote.

Mtaishia tu kuwa mabingwa wa hayo mabonanza mnayo jiandalia wenyewe.
okaya muda muda utazungumza.
kama yanga mtatwaa vpl msimu huu nitakupongeza, ila ikiwa kinyume chake nitakudharau sana
 
OK jidada livaa madela
 

Kupata vichekesho hivi tunatuma kwenda namba ipi?
 
Simba ni club kubwa, hii michuano imeipromot sana Simba...

Kwa wachezaji tulionao sasa huoni tofauti ya Mazembe na Simba...tupo level moja...

Naiona simba ikifika mbali champions League...

[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…