Umejifunza nini ndani ya mwaka huu

Umejifunza nini ndani ya mwaka huu

Mejifunza, kuwa watu wanaowahi sana kutoka nyumbani asubuhi na kuchelewa kurudi nyumbani jioni ...kwenye miji/familia yao kuna kitu hakiko sawa
Tufanunulie kwann inakuwa hivyoo
 
1. Jifunze kusimama mwenyewe itakusaidia katika kutimiza baadhi ya malengo yako katika maisha.

2. Usifanye kitu kwasababu wengi wanakifanya.

3. Usimuamini mtu sana hasa katika biashara na pesa

4. Weka akiba maalum kwaajili ya dharura na nyingine kwaajili ya malengo ya muda mrefu.

5. Ukiwa na malengo usikamie sana kutaka kuyatimiza kwa haraka.

6. Tambua wapi una umuhimu na wapi huna umuhimu itakusaidia kuepuka kujipa umuhimu kwa watu wasiojali uwepo wako.

7. Ishi uhalisia wako hata katika mitandao ya kijamii.

8. Simamia unachokiamini hatakama utabaki kukiamini peke yako.


9. Kila mmoja ana matatizo yake, jifunze kutokuwa mzigo kwa wengine.

10. Maisha ni mafupi, fanya unachopenda na ishi unavyotaka.

11. Jifunze kutunza SIRI.
Maneno kuntu
 
Tufanunulie kwann inakuwa hivyoo
Hii ntaifanyia kazi kwa mwaka ujao, kisha ntarejea na jibu, yabidi niongee nao sasa kuna baadhi ya vitu huwa ni sirii hadi muhusika apende kusema
 
Nimejifunza kwamba "In the end, nothing in life matters at all." "Life is meaningless, sisi binadamu kushupaza mafuvu yetu ndiyo tunafanya life kuwa complicated".
 
Back
Top Bottom