Umejipangaje wewe na mpendwa wako katika hiki kipindi cha kufunga mwaka?

samahani kwa kuingilia mada
..kwa sisi wenye wapendwa yaan tuko in relation na demz more than1 nasisi tujipange kuumaliza huu mwaka na hawa mabeb zetu?? yaan kuwalizisha hao wote?? mmmhh weeeee bia tam,

nimejipanga kujifuraisha me mwenyewe, mwaka nitauaga mwnyewe kama nitakuwa hai.....
 
watu weng hasa black people wanaangamia kwa kukosa maarifa.


hata Mungu wa dini anasema kupitia maandiko mnayokesha kusoma kuwa kawapen dunia muitawale na kuicontrol, sasa kama ninyi muda wote mko kazn mnapata wapi muda wa kuyacontrol mazingira na kuyainjoy? dhambi zingine ni kujitakia tu, siku umekufa unakuta list ya mabaya yako dunian kuwa haukutii amri ya Mungu kwa kutoenjoy vzr.

alie waloga kafa, mim hata mashulen na machuo sikupenda kusoma ile ya kujiumiza, maana nljua kila jambo lifanywe kwa kiasi, na kubwa kulko dunian sis ni wapitaji yaan wasafir ambao mnatakiwa kuzimaliza bata&raha zote za dunia hii.

sasa kama utakomaa na iyo mikazi yako kutwa kucha, hayo mengine utafanyaga lin?? ndyo maana mnawai kufa na kupata magonjwa ya ajabu sabb hamtaki kuzfuraisha roho&nafsi zenu hapa dunian.

umepata nafasi ya kuinjoy ukiwa hai, kula bataaa baba, kula bata mama, kula bata dada&kaka mbingun&jehanam hakuna bata kule zaid ya kichapo/kusifu&kimba[emoji23][emoji23].

bata iliwe haswaa, kula bata as if unakufa kesho, kula bata maana yake ni ufurahie raha za dunia kama vile, kutembelea mazingira&wanyama, kula&kunywa vyakula ambavyo hujala/hujawai kula, na mengi ya kufuraisha,

wapuuzi wachache wanafananisha kula bata na tabia mbaya kama ulevi&uzinz hao wote wapuuzwe,

fanya kazi sana lkn usisahau kula bata, kuleni bata jmn,

mm huu mwaka mipango yangu ni kuzunguka majiji yote ya Tz, na tyr nmemaliza majiji4 , bado 2 tu[emoji23][emoji23][emoji23], mabeby zangu wana raha eh.
 
eneo mkuu
may be na sisi sometimes tutaenda kutia barka pia
 
Nipe location tafadhal, nikajipumzikie na mama watoto na our son, maisha ni hayahaya
 
Majanga hayo umeyatafuta mwenyewe, ulishaona wapi tajiri duniani (list ya 'forbes') ana mke zaidi ya mmoja? Ukianzisha uhusiano mwingine, vunja ule wa mwanzo. Kama unaweza kuwafurahisha wote inabidi ufanye kazi ya ziada; ingawa katika nafsi zao wanakuwa na kisasi.
 
Wengi wanafikiri maisha ni sehemu ya kupatia uzoefu, bila kujua maisha ni yale unayoyaishi hayaitaji uzoefu. Unaishi mara moja, na pia utakufa mara moja. Kila kitu kina umuhimu wake.
 
Yes hapo kwenye unyonyaji ndy Pana tatizo..mtu mweusi na muhindi wakipata cheo huwanyonya sn walio chini

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hayako fair pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…