Umejitayarishaje? Chrismas ndo inakuja!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Chrismas bado mwezi mmoja na ushee!
Kuna watakaotaka kusafiri kwa magari yao wakawaringishie ndugu zao Moshi!
Kuna wanaoenda mbugani kuona wanyama!
Kuna watakaotaka kutalii tu kiujumla!

Kuna wengine ndio watwaita ndugu na jamaa wale na wanywe pamoja.
Kuna wengne ndio wanajitayarisha kwa sherehe kubwa ya kuzaliwa Mwokozi wa wadhambi duniani.

Yoote hayo yanahitaji fedha za kutosha .
Je wewe umejitayarishaje?
 
Utoto huu
Mtu mzima anayesomesha watoto wanne feza Hana Muda wa kuwaza utoto Kama huu

Maisha yanabidi kila siku kuwa ni X mass
 
Utoto huu
Mtu mzima anayesomesha watoto wanne feza Hana Muda wa kuwaza utoto Kama huu
Kwanini asiwaze? Yan we muhaya unajikutaga kinyamaa yan

Sasa kwa taarifa yako hao wa Feza na maboss wenzao uchumi wa kati washaanza kuplan na kubook hotel for December/ christmas vacay.
 
Kwanini asiwaze? Yan we muhaya unajikutaga kinyamaa yan

Sasa kwa taarifa yako hao wa Feza na maboss wenzao uchumi wa kati washaanza kuplan na kubook hotel for December/ christmas vacay.
Asante mkuu.
Kuna watu wana mentallty ya planning for failures!
 
Kwanini asiwaze? Yan we muhaya unajikutaga kinyamaa yan

Sasa kwa taarifa yako hao wa Feza na maboss wenzao uchumi wa kati washaanza kuplan na kubook hotel for December/ christmas vacay.
Vacay au vacation!??
 
Tuko bize na maji! Mbwa we hizi thread za kitoto hizi utavaa dera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…